WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hasa mwanasiasa wa ccm.
Kwani lini serikali hii ilikiwa serious, bwana yule yupo hoi kitandani mkubwa wa mawaziri akasema anachapa kazi, kigamboni wakazindua mradi wa maji wakati hata mabomba chini hayajafukiwa. 😂, treni mpaka leo kizungumkuti.
Usimuamini mwanasiasa hata kidogo, hata akikwambia nje mvua inanyesha na kaingia ndani kalowa, usimuamini, toka nje ushuhudie, hata kama unaiona kwenue dirisha na kwenye bati inasikika, toka nje usikite amekodi faya wanamwaga maji. 🤣