Matinyi anasema waziri Ndumbaro alitania, wakati mhusika alisema 'Hatutanii'. Inaondoa uaminifu kwa Serikali

Hasa mwanasiasa wa ccm.
 
Tena Cha ajabu, eti huyo Ndumbaro, tunaaminishwa kuwa ana shahada ya PhD ya Sheria!

Hivi inawezekanaje Kwa mtu kama huyo tunayeaminishwa kuwa amebobea kwenye Sheria, atoe matamshi, ambayo anajua fika kuwa ni kinyume Cha Sheria?πŸ™†
PHD ya kuingia na nondo kwenye chumba cha mtihani madhara yake ndiyo hayo.
 
Nashangaa sijui kwa nini WAZIRI mwenyewe hatoki mbele kuomba radhi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…