Matiti ni mali ya nani?

Matiti ni mali ya nani?

Titties, boobies, cantaloupes, watermelons, puppies, and twins. That's what's cooking. Now do you smell what O.P.P. is cookin'?

looks like we hav had an unprecedented metamorphosis here.......
 
ukubwa kazi matiti ni mali ya huyo at that time
Conquest-mtoto atachezea matiti ya mama na sio kor...dan za baba:teeth:
 
Matiti ni mali yangu mwenyewe!!! Ninayaruhusu kutumiwa na mwingine (mtoto, mume) kulingana na mahitajio na mazingira. Full stop!!!!

Hapo kwenye red lazima uliuma meno wakati una-type kuonyesha msisitizo!:rolleyez:
 
Matiti ni hoteli ya mtoto.akikua basi yanaendelea kuwa ya mama.Sasa nyie wakubwa wazima mnataka matiti ya nini? Mnatia aibu kugombaniana na watoto matiti.wapeni nafasi yao jamani......

“As long as the road is the right one, we would not be afraid that this road would be very long.” ---- Anonymous
tuna share kubwa tu hapo .............. we will get there!
 
oops sorry babu,nilitaka kusema yangu yananyonywa na ambao bado hawajaota meno.pamoja na hayo ni mali yangu hata hao ambao hawajaota meno nikiona watayaangusha ntawanyima.
Mie najua kushikilia vizuri mwaya, hayataangua, I promise!
 
swali gumu mmmmmmmhhhhhhhhh mali ya shiria.. :grouphug:
Mbona hujafafanua hapa sasa mammy, huu ushirika ni wa kununuliwa kama hisa au nkivipi? na mie niko humo au thimo?
 
Me nashindwa kuelewa swali lako!we wataka kujua ni mali ya nani ili iweje bana?pia tudokeze wanaJF kama sirikali wanataka kutoa hati miliki ya hayo mamilk maana mie cjui!bt nijuavyo mie baba anamatiti yake,wewe unayako na mtoto anayake,bt we unawapa kwa kadri ya matumizi yao coz wewe ni MAMA!nakupa heshima yako bana
 
Wanawake wote habari senyu.........:hungry::hungry:....... samahani kwa hii off topic, hivi mtoto akinyonya nyonyo mnajisikia vilevile kama akinyonya baba watoto? Nauliza kwasababu sijawahi kuwasikia mkiguna kimahaba wakati watoto wakinyonya. Samahani kama nimewakwaza.:whoo::whoo::whoo:
Hahahahahahahahahaha......lol
 
Kwa hiyo mnataka kuniambia bado hamjakonkludi kuwa nani mwenye hisa kubwa zaidi ya umilikaji wa matiti?
 
Back
Top Bottom