SI KWELI Matiti ya mwanamke hudondoka yanapoguswa guswa na viganja vya wanaume

SI KWELI Matiti ya mwanamke hudondoka yanapoguswa guswa na viganja vya wanaume

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma.

IMG_6646.jpeg

Hivi ni kweli kuwa matiti ya mwanamke yanapopapaswa na viganja vya mwanaume hupelekea kuanguka na kuwa ndala?
 
Tunachokijua
Binadamu kama walivyo wanyama wengine wanaopatikana kwenye Kundi la Mamalia huwa na sifa mbalimbali zinazowatenganisha na viumbe wengine. Baadhi yake ni;
  • Kuwa na manyoya
  • Kuwa na tezi za jasho
  • Huwa na tezi maalum za kuzalisha maziwa, maarufu kama mammary glands
  • Huwa na mifupa 3 kwenye sikio la kati
  • Uwepo wa eneo la Neocortex kwenye ubongo
  • Kuwa na meno yaliyotofautishwa muundo na muonekano
  • Moyo wenye vyumba 4 pia chembe nyekundu za damu zisizo na kiini (Nucleus) katikati
Kwa kurejea sifa hizi, mwanamke kama kiumbe kinachonyonyesha huwa na tezi kubwa zaidi za maziwa (Matiti) kuliko wanaume, pia huwa na homoni nyingi zaidi zinazosaidia uzalishwaji wa maziwa kuliko zile alizonazo mwanamme.

Kuanguka baada ya kushikwa na wanaume
JamiiForums imepokea madai haya na kufanyia kazi kwa kuzungumza na wataalam wa afya. Katika uchunguzi wetu, tumebaini mambo yafuatayo;
  1. Ukuaji wa matiti ya mwanamke huongozwa na mfumo wa taarifa za urithi (Genes) pamoja na mfumo wa vichocheo vya mwili (Homoni)
  2. Hakuna mfumo mmoja wa ukuaji wa matiti unaofanana kwa wasichana wote. Baadhi hukua mapema na baadhi huchelewa
  3. Kushikwa matiti na wanaume hakuwezi kusababisha kudondoka (kuanguka) kwa matiti, au hata kuongezeka ukubwa wake.
Ukiondoa Genes na Homoni, mambo mengine kama uzee, kani ya mvutano wa dunia (Gravity), uzito mkubwa, umri wa ukomo wa hedhi, kuzaa watoto wengi, kupoteza sana uzito wa mwili pamoja na uvutaji wa sigara husababisha kudondoka kwa matiti.

Pia, kwa mujibu wa Taasisi ya Nemours Teens Health, kuvaa au kutokuvaa sidiria hakuwezi kusababisha kukua, kudumaa au kudondoka (kuanguka) kwa matiti. Nadharia hizi ni uzushi usio na uhalisia kisayansi.
Manyonyo kusimama, kuanguka, ukubwa ama udogo wake huwa ni genetics, hayo mengine uliyoyataja yanachangia % ndogo sana; sawa na kwa wanaume size ya shipa huwa ni kurithi (genetics)
 
Kimboka tiptop sugar ray uwanja Sufi.nk wakuje hapa
 
Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma.

Hivi ni kweli kuwa matiti ya mwanamke yanapopapaswa na viganja vya mwanaume hupelekea kuanguka na kuwa ndala?
Sio kweli, hiyo inaendana na maumbile ya mtu husika, mimi binafsi kuna changudoa nilianza kutafuna mwaka jana, hadi leo hii ana chuchu dodo.
 
Umeeleweka Mkuu, Tatizo ni hao Vijana wahovyo huko mtaani hii elimu itawafikiaje ?
kwasab wadada wengi wenye umri WA Kati na Mdogo wanapigwa vibuti Kwa sababu saa zao hazisom saa 6 wakichukuliwa kama wamesoma kilomita nyingii
 
Mtakuja na tafuti chonganishi eti na mbupu nazo zikilegea ni kunyonywa sana
 
Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma.

Hivi ni kweli kuwa matiti ya mwanamke yanapopapaswa na viganja vya mwanaume hupelekea kuanguka na kuwa ndala?

Hainiongezei au kunipunguzia kitu
 
inategemea na maumbile matiti kuwa ndala inaletwa na maumbile na sio kushikwa Mimi Mdogo wangu tumuite Mwasope yeye kawekewa ulinzi Kama wa JWTZ wenye A47K lakini titi zimelala je Nani kaziliza na yupo around 17 yrs tu
Kam analindw 24/7 Nd Lete hoja Ila Kam kuna muda anakuw kivyake bas wajuba washamsanukia
 
Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma.

Hivi ni kweli kuwa matiti ya mwanamke yanapopapaswa na viganja vya mwanaume hupelekea kuanguka na kuwa ndala?
AsaNte kwa taarifa wengine tutawaondea ukakasi
 
Back
Top Bottom