Mchumba mamboNdo maana hata sura ziko tofauti, maumbile tofauti, kuna wanene, wembamba, warefu,na wafupi.
Umeona ya wangapi?kwa nn wanawake wa Tanzania hawavai kama hao ??
Ndo maana hata sura ziko tofauti, maumbile tofauti, kuna wanene, wembamba, warefu,na wafupi.
Sipati picha ya Nick minaj akizaa [emoji38][emoji38][emoji38]Naomba radhi kwanza maana hata mimi nina mama angu aliye nizaa. Heshima kwa wanawake wote.
Naomba kujua huu utofauti wa matiti baada ya mwanamke kuzaa.
Kuna wengine baada ya kuzaa matiti yanakua makubwa kiasi hadi kimlemea.
Kuna wengine yanapotea kabisa .. yaani yanalala utadhani tissu yote imekamuliwa?
Kuna wengine yanakua kawaida sana , kunakua na ugumu flani na sio rahisi kujua kama kanyonyesha.
Naomba watalaamu watusaidie sababu ya hizo tofauti.View attachment 1093840
Atafanyiwa surgery huyo afu unakuta hatanyonyeshaSipati picha ya Nick minaj akizaa [emoji38][emoji38][emoji38]
HahahaAtafanyiwa surgery huyo afu unakuta hatanyonyesha
Mada imefungwa.Ndo maana hata sura ziko tofauti, maumbile tofauti, kuna wanene, wembamba, warefu,na wafupi.
Hahaha halafu cha kushangaza mtoa Mada ni jike shupaSasa hivi ndiyo tumeanza kujadili hadi matiti ?Kweli maendeleo hayapendagi mavyama.
Kazi mnayo.Hahaha halafu cha kushangaza mtoa Mada ni jike shupa
Hana mimba kitovu kipo ndani.