mirna92
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 502
- 1,001
Haswaa.Hahaa ni hatari kubwa -- ndio defense mechanism ya makobe wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa.Hahaa ni hatari kubwa -- ndio defense mechanism ya makobe wote
Wanaume wavukilivu sana.. na wanaupendo wa ajabu sana. Unakuta mama kaumka kawa mkubwa, kitambi hicho, kanga hata hazitoshi hadi aweke order kwa size yake.. lakini kakijana ka watu kanaonyesha upendo, bila shida kabisa.Sasa si-alizipenda wakati hazija expire . Ni sawa na mtu anavyo anza kuichukia gari/simu/nyumba pindi inapokuwa imechoka na kukosa mvuto machoni pake ...
Asi kuambie mtu " Chuchu za vigori ni habari nyingine
Wanaume wavukilivu sana.. na wanaupendo wa ajabu sana. Unakuta mama kaumka kawa mkubwa, kitambi hicho, kanga hata hazitoshi hadi aweke order kwa size yake.. lakini kakijana ka watu kanaonyesha upendo, bila shida kabisa.
Hawa ni wanawake?Naomba radhi kwanza maana hata mimi nina mama angu aliye nizaa. Heshima kwa wanawake wote.
Naomba kujua huu utofauti wa matiti baada ya mwanamke kuzaa.
Kuna wengine baada ya kuzaa matiti yanakua makubwa kiasi hadi kimlemea.
Kuna wengine yanapotea kabisa .. yaani yanalala utadhani tissu yote imekamuliwa?
Kuna wengine yanakua kawaida sana , kunakua na ugumu flani na sio rahisi kujua kama kanyonyesha.
1. Je ni chakula
2. Je ni uzembe wa kutofanya mazoezi
3. Je inatokana na ukoo
4. Je ni matatizo yanayo tokana na magonjwa fulani
Naomba watalaamu watusaidie sababu ya hizo tofauti.View attachment 1093840
Haaaaa...Hahaa yastahiki mtupatie tuzo katika hilo yaani imefikia hatua mwanamke akivua nguo anakuwa kama wale wacheza sumo View attachment 1093983
Hahaa usicheke wanawake wa hivyo wapo wengi sana kwenye jamii yetu ... yaani utakuta tumbo lake lina mapingili pingili kiasi kwamba anaweza kuficha Wallet na usiioneHaaaaa...
Haaaa.. sasa si utapata tabu sana hata kuvitafuta vile vitu vitamu vilipo..Hahaa usicheke wanawake wa hivyo wapo wengi sana kwenye jamii yetu ... yaani utakuta tumbo lake lina mapingili pingili kiasi kwamba anaweza kuficha Wallet na usiione
Yaani hapo mission inakuwa ni impossible ..na watu wanakuwa Wanaishi tu kwenye ndoa kimazoea " hawa wezi kuachana kwa Kuwa wanakuwa wamesha changia vitu vingi kuanzia masuala ya uchumi mpaka mahusianoHaaaa.. sasa si utapata tabu sana hata kuvitafuta vile vitu vitamu vilipo..
kwa nn wanawake wa Tanzania hawavai kama hao ??
Hatari sana hiiYaani hapo mission inakuwa ni impossible ..na watu wanakuwa Wanaishi tu kwenye ndoa kimazoea " hawa wezi kuachana kwa Kuwa wanakuwa wamesha changia vitu vingi kuanzia masuala ya uchumi mpaka mahusiano
Ila kwa mwanaume kuchepuka inakuwa kama ndio sera ya taifa kwake
Ndo maana hata sura ziko tofauti, maumbile tofauti, kuna wanene, wembamba, warefu,na wafupi.
Shemeji aibu nimeona mimiTulia kwanza mimi nimefika sasa hivi
Ahsante japo ninaswaum ntakunywa baada ya futarikunywa soda nakuja kulipa
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Shemeji aibu nimeona mimi
Ahsante japo ninaswaum ntakunywa baada ya futari