Matiti ya wanawake baada ya kuzaa.

Matiti ya wanawake baada ya kuzaa.

Sawa tu, ila naona sio mbaya.
Ila wanaume wana shida.. anampenda mdada kwa chuchu zake.. akisha zaa unaogopa hata kuziangalia.. Mungu awasaidie wanaume.
 
kibongo bongo mtoto na baba wana competite kwenye matiti we unadhani matiti yatakuaje sasa...
 
kibongo bongo mtoto na baba wana competite kwenye matiti we unadhani matiti yatakuaje sasa...
Hujaelewa swali.. kutepeta kwa matiti ni kawaida lakini kwanini wengine baada ya kuzaa yanakuwa makubwa hadi yanawalemea?
 
OK tuje kwenye maziwa unazuiaje yasilale

Mimi nijuavyo maziwa yaliyosimama ni ya

1.Binti mdogo anayeanza kuvunja ungo,

2. Mwanamke anayepiga deki

Na

3. Mwanamke aliyevaa brazia.

Kinyume na hapo maziwa yote ya waliobakia yamelala
 
Mimi nijuavyo maziwa yaliyosimama ni ya

1.Binti mdogo anayeanza kuvunja ungo,

2. Mwanamke anayepiga deki

Na

3. Mwanamke aliyevaa brazia.

Kinyume na hapo maziwa yote ya waliobakia yamelala
Sawa nadhani hujaelewa swali. Maziwa kulala ji kawaida ila unakuta wengine baada ya kuzaa maziwa yanakua makubwa hadi sidiria ya kuvalisha kuipata ni mbinde.

Wengine baada ya kuzaa utakuta bado vimejaa

Wengine maziwa yanalala kabisa utadhani tissu yote ya ziwa imekamuliwa.
 
Haya
 
Hujaelewa swali.. kutepeta kwa matiti ni kawaida lakini kwanini wengine baada ya kuzaa yanakuwa makubwa hadi yanawalemea?
nimekuelewa sana mkuu.. suala hili linajibiwa kisayansi zaidi na si kimtazamo wa nje... nikipata muda wa kutosha leo nitakujibu na namna inavyoweza kupunguzwa na sio kuisha kabisa maana kinahusisha zaidi ni hormone katika miili yetu ahsante
 
Back
Top Bottom