Matiti ya wanawake baada ya kuzaa.

Matiti ya wanawake baada ya kuzaa.

nimekuelewa sana mkuu.. suala hili linajibiwa kisayansi zaidi na si kimtazamo wa nje... nikipata muda wa kutosha leo nitakujibu na namna inavyoweza kupunguzwa na sio kuisha kabisa maana kinahusisha zaidi ni hormone katika miili yetu ahsante
Thanks sana mkuuu..
 
Ni kweli kama zilivyo nguo .. tungetembea uchi tungekimbiana.
Hahaa hapana kama tungezaliwa na kukuta huo ndio ustaarabu wa duniani " Tunge zoea tu nakuona ni kitu cha kawaida "...

Mbona kuna jamii ya watu bado ina tembea Uchi na wanaona sawa tu wala hawa kimbiani
 
ambacho huelewi na wanawaume wengi hatujui ni kwamba hakuna uhusiano wowote wa matiti na mwanamke malaya au ambae si malaya au kazaa au hajazaa. Matiti ni Kama uume tu kuna wenye kubwa,ndogo,size ya kati n.k nimaumbile tu ya mwanamke alivyoumbwa.
 
Ila wanaume wana shida.. anampenda mdada kwa chuchu zake.. akisha zaa unaogopa hata kuziangalia.. Mungu awasaidie wanaume.
Sasa si-alizipenda wakati hazija expire . Ni sawa na mtu anavyo anza kuichukia gari/simu/nyumba pindi inapokuwa imechoka na kukosa mvuto machoni pake ...

Asi kuambie mtu " Chuchu za vigori ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom