Thanks sana mkuuu..nimekuelewa sana mkuu.. suala hili linajibiwa kisayansi zaidi na si kimtazamo wa nje... nikipata muda wa kutosha leo nitakujibu na namna inavyoweza kupunguzwa na sio kuisha kabisa maana kinahusisha zaidi ni hormone katika miili yetu ahsante
Ahsante.
Yap hupati shida ukishafaham muumbaji alituumba tofauti na sababu anazijua yeye.Mada imefungwa.
aibu naona mimikwa nn wanawake wa Tanzania hawavai kama hao ??
Kuna unene wa asili hauzuiliki hata ufanye nini.Kuna vitu tunaweza vizuia mapema , havihusiani kabisa na maumbile ya kuzaliwa.
Mfano mtu kuwa bonge,
Poa mzima ww?Mchumba mambo
Yeah nashukuru Mungu . Vipi swaumuPoa mzima ww?
Tulia kwanza mimi nimefika sasa hiviMada imefungwa.
Ipo inaenda vizuri tu vipi ww inapanda?Yeah nashukuru Mungu . Vipi swaumu
Naumwa vidonda vya tumbo .. (kidding)Ipo inaenda vizuri tu vipi ww inapanda?
Mmh! Hivyo vidonda hua vingi mwezi huu [emoji1787][emoji1787]Naumwa vidonda vya tumbo .. (kidding)
Ina panda bwana
Hahaa hapana kama tungezaliwa na kukuta huo ndio ustaarabu wa duniani " Tunge zoea tu nakuona ni kitu cha kawaida "...Ni kweli kama zilivyo nguo .. tungetembea uchi tungekimbiana.
Sasa si-alizipenda wakati hazija expire . Ni sawa na mtu anavyo anza kuichukia gari/simu/nyumba pindi inapokuwa imechoka na kukosa mvuto machoni pake ...Ila wanaume wana shida.. anampenda mdada kwa chuchu zake.. akisha zaa unaogopa hata kuziangalia.. Mungu awasaidie wanaume.
Hahaa ni hatari kubwa -- ndio defense mechanism ya makobe woteMmh! Hivyo vidonda hua vingi mwezi huu [emoji1787][emoji1787]