Matiti ya wanawake baada ya kuzaa.

Sasa si-alizipenda wakati hazija expire . Ni sawa na mtu anavyo anza kuichukia gari/simu/nyumba pindi inapokuwa imechoka na kukosa mvuto machoni pake ...

Asi kuambie mtu " Chuchu za vigori ni habari nyingine
Wanaume wavukilivu sana.. na wanaupendo wa ajabu sana. Unakuta mama kaumka kawa mkubwa, kitambi hicho, kanga hata hazitoshi hadi aweke order kwa size yake.. lakini kakijana ka watu kanaonyesha upendo, bila shida kabisa.
 
Hahaa yastahiki mtupatie tuzo katika hilo yaani imefikia hatua mwanamke akivua nguo anakuwa kama wale wacheza sumo
Wanaume wavukilivu sana.. na wanaupendo wa ajabu sana. Unakuta mama kaumka kawa mkubwa, kitambi hicho, kanga hata hazitoshi hadi aweke order kwa size yake.. lakini kakijana ka watu kanaonyesha upendo, bila shida kabisa.
 
Hawa ni wanawake?
 
Haaaaa...
Hahaa usicheke wanawake wa hivyo wapo wengi sana kwenye jamii yetu ... yaani utakuta tumbo lake lina mapingili pingili kiasi kwamba anaweza kuficha Wallet na usiione
 
Hahaa usicheke wanawake wa hivyo wapo wengi sana kwenye jamii yetu ... yaani utakuta tumbo lake lina mapingili pingili kiasi kwamba anaweza kuficha Wallet na usiione
Haaaa.. sasa si utapata tabu sana hata kuvitafuta vile vitu vitamu vilipo..
 
Haaaa.. sasa si utapata tabu sana hata kuvitafuta vile vitu vitamu vilipo..
Yaani hapo mission inakuwa ni impossible ..na watu wanakuwa Wanaishi tu kwenye ndoa kimazoea " hawa wezi kuachana kwa Kuwa wanakuwa wamesha changia vitu vingi kuanzia masuala ya uchumi mpaka mahusiano

Ila kwa mwanaume kuchepuka inakuwa kama ndio sera ya taifa kwake
 
Hatari sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…