Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Dogo umeshamchukua Junior mtoto wa shemeji yako mume wa dada yako shuleni EM. Sasa nenda uwani ukamwagilie kale kabustani niliyokushauri uanzishe ikukeep busy.Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mfano leo hii ukiona nyumba inauzwa chanika au chamazi million 15 au 20 fahamu kabisa matofali yaliyotumika kutengenezea hiyo nyumba ni yale yakiguswa tu kidogo na pembe ya kitanda yanaanza kumomonyoka
Na hawa wanaotengeneza wanayatengeneza bila kificho chochote huko mitaani sio sawa kama nchi lazima tuwe na standard bahati mbaya sana hakuna anayejali
Nikiwa rais wa Tanzania
Matofali yanayotengenezwa yatakuwa na standard kubwa na
atakayebainika ametengeneza matofali yenye kiwango kidogo basi atachukuliwa hatua za nidhamu
Na pia kutakuwa na maeneo maalumu ya kutengeneza matofali sio watu wanajichagulia eneo na kuanza kufyatua matofali lazima kutakuwa na utaratibu
Haya ya dsm asilimia kubwa yanaubora mdogo sanaKuna matofali yanatoka moshi kilimanjaro, yanachongwa kwenye mwamba yana ubora mkubwa mno.
Mh rais ebu litazame pia eneo la lishe, wananchi wengi wanaishi kwa kula makapi badala ya kula vyakula vyenye virutubisho.Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mfano leo hii ukiona nyumba inauzwa chanika au chamazi million 15 au 20 fahamu kabisa matofali yaliyotumika kutengenezea hiyo nyumba ni yale yakiguswa tu kidogo na pembe ya kitanda yanaanza kumomonyoka
Na hawa wanaotengeneza wanayatengeneza bila kificho chochote huko mitaani sio sawa kama nchi lazima tuwe na standard bahati mbaya sana hakuna anayejali
Nikiwa rais wa Tanzania
Matofali yanayotengenezwa yatakuwa na standard kubwa na
atakayebainika ametengeneza matofali yenye kiwango kidogo basi atachukuliwa hatua za nidhamu
Na pia kutakuwa na maeneo maalumu ya kutengeneza matofali sio watu wanajichagulia eneo na kuanza kufyatua matofali lazima kutakuwa na utaratibu
Yani rais mzima unafuatilia ufyatuaji wa matofali! Yani dogo ukishashiba kande na kuvimbiwa hapo kwa shemeji yako chochote kinakujia akilini unakuja faster huku kushare na Sisi.Haya ya dsm asilimia kubwa yanaubora mdogo sana
Unakejeli rais wetu ajaye.Yani rais mzima unafuatilia ufwatuaji wa matofali! Yani dogo ukishashiba kande na kuvimbiwa hapo kwa shemeji yako chochote kinakujia akilini unakuja faster huku kushare na Sisi.
Kama hayana ubora huja lazimishwa kununua mzee,nunua cement +mchanga=fyatua kwa ratio unayotka,kuna mwamba mmoja nilimpigia saluti yeye kwenye mfuko alikua anatoa tofari 15 tuKatika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mfano leo hii ukiona nyumba inauzwa chanika au chamazi million 15 au 20 fahamu kabisa matofali yaliyotumika kutengenezea hiyo nyumba ni yale yakiguswa tu kidogo na pembe ya kitanda yanaanza kumomonyoka
Na hawa wanaotengeneza wanayatengeneza bila kificho chochote huko mitaani sio sawa kama nchi lazima tuwe na standard bahati mbaya sana hakuna anayejali
Nikiwa rais wa Tanzania
Matofali yanayotengenezwa yatakuwa na standard kubwa na
atakayebainika ametengeneza matofali yenye kiwango kidogo basi atachukuliwa hatua za nidhamu
Na pia kutakuwa na maeneo maalumu ya kutengeneza matofali sio watu wanajichagulia eneo na kuanza kufyatua matofali lazima kutakuwa na utaratibu
Ubinafsi unakusumbua na ndo moja ya sababu tupo kwenye umaskini kila mtu anajifikiria yeyeKama hayana ubora huja lazimishwa kununua mzee,nunua cement +mchanga=fyatua kwa ratio unayotka,kuna mwamba mmoja nilimpigia saluti yeye kwenye mfuko alikua anatoa tofari 15 tu
Nchi ubinafsi ni tatizo kubwa sana kila mtu anajifikiria yeye na hii mentality ipo kwa baadhi ya viongozi hawajali magumu wanayopitia watu wengineUmenikumbusha kiongozi alienda kukagua jengo la serikali akigusa tu tofalii Kwa kidole linamomonyokaa 😀😀😀
TZ kazi ipo
Umenena vemaMnauziwa mchanga uliokandamizwa na mashine
Ukifyatua mwenye ,mfuko mmojaHaya ya dsm asilimia kubwa yanaubora mdogo sana
Moram hayoKuna matofali yanatoka moshi kilimanjaro, yanachongwa kwenye mwamba yana ubora mkubwa mno.