min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hapana ni matofali ya mwamba yanachongwa na mashine maalumuMoram hayo
Ova
Hapana ni matofali ya mwamba yanachongwa na mashine maalumuMoram hayo
Ova
Hapana ni matofali ya mwamba yanachongwa na mashine maalumuView attachment 3421897
Changamoto ni kwamba hawachukuliwi hatua ila kama wangekuwa wanachukuliwa hatua wasingefanya hayo wanayoyafanyahakuna anayejali pesa yako bongo hapa.
tofali 1300,ila ni kama biskuti.
Ukipata mafundi wazuri wakiyajengea nyumba inanyooka kama rulaYah tofali za miamba hata holili kuna jamaa ana mradi huo
Mawe magumu sana
Ova
Ya moram yalikuwa Uchira sahivi hawachimbi tenaMoram hayo
Ova
Hawatakiwi waendelee kufanya wanachofanyaUlienda kununua tofali, chukua tofali 2 na 1 inyanyue usawa wa kifua chako then achia zigongane na zikijunjika achana nazo lipa 2400 ya watu then pita kule
Kipindi nanunua huko moja ilikuwa 800,sema cost tu ujipange kusafirishaUkipata mafundi wazuri wakiyajengea nyumba inanyooka kama rula
Kunatakiwa kuwe na standard kwa watu wanaofyatua matofali na sio estim pekee yakeNenda mwenge estim pale tofali za zege.
Mimi niliagiza ila kwa simu tu majuzi 1200@ na nikachukua reject za uzio kwa 900@Kipindi nanunua huko moja ilikuwa 800,sema cost tu ujipange kusafirisha
Ova
?Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa mbinde sana sijajua sahivi
Mfano leo hii ukiona nyumba inauzwa chanika au chamazi million 15 au 20 fahamu kabisa matofali yaliyotumika kutengenezea hiyo nyumba ni yale yakiguswa tu kidogo na pembe ya kitanda yanaanza kumomonyoka
Na hawa wanaotengeneza wanayatengeneza bila kificho chochote huko mitaani sio sawa kama nchi lazima tuwe na standard bahati mbaya sana hakuna anayejali
Nikiwa rais wa Tanzania
Matofali yanayotengenezwa yatakuwa na standard kubwa na
atakayebainika ametengeneza matofali yenye kiwango kidogo basi atachukuliwa hatua za nidhamu
Na pia kutakuwa na maeneo maalumu ya kutengeneza matofali sio watu wanajichagulia eneo na kuanza kufyatua matofali lazima kutakuwa na utaratibu
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Uchira ni nyumbani kwa kina woiso product ila site yake ilikuwa homilies mpk na kenya,mm nilienda naye mpk huko na nlichukuaa mimawe hayaYa moram yalikuwa Uchira sahivi hawachimbi tena
Hauwezi pangia watu.ni kama mama ntilie tu.ukiona chakula hakifai HAMAKunatakiwa kuwe na standard kwa watu wanaofyatua matofali na sio estim pekee yake
Woiso mm alinifanyia 800Mimi niliagiza ila kwa simu tu majuzi 1200@ na nikachukua reject za uzio kwa 900@
Ila jamaa atakua anabeba pesa na limfuko 🤔Woiso mm alinifanyia 800
Unajuwa tena alwatan wa mjini
Ohooo
Ova
Woiso tajiri low prof lakiniIla jamaa atakua anabeba pesa na limfuko 🤔
Hivi ndio wale wana viwanda vya ngozi?Woiso tajiri low prof lakini
Ila pesa ipo sanaaa
Ova
Mkuu Bei yake IPoje kwa tofali 1 ?Nenda mwenge estim pale tofali za zege.