Matokeo ACSEE Chato Secondary iliyowahi kuongoza wakati wa Rais Magufuli kutoka namba 1 hadi 400+

Amina68

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
298
Reaction score
547
Screenshot_20220706-082239.png
 
Jiwe alikuwa anawapa mitihani bila shaka mi nilikuwa nashangaa chato kuongoza???
 
Kwa sie tusioangalia mtoto ameshika namba ngapi au shule imeshika namba ngapi, naweza kusema matokeo ni mazuri maana 78% ya wanafunzi wamepata Division 0ne ambao wote wana uhakika wa kwenda chuo kikuu (mchawi ni bodi ya mkopo na mzazi kushindwa kulipa ada tu). Na hao wa Division 3 huenda kuna kadhaa nao wanaweza wakapata nafasi chuo kikuu kama wana D mbili na wengine wanaobaki wanapiga Diploma
 
Kutoka namba moja mpaka 400 unaona ni kawaida
 
Sio mbaya wako vizurii matokeo hayana shida maana wengi wataenda chuo
 
Tuwekee na ushahidi wa hio nafasi ya 400+...watu hawana div 4 wala zero 400 wamefikaje? Shule ya kata kutokua na div 0 or 4 tena huko mkoani wamejitahidi sana. Kuna Shule kubwa tu hapa jijini hayo matokeo hawana.

Imeshika nafasi ya 411, una bando ingia website ya necta kila kitu kipo wazi!
 
Kwa sie tusioangalia mtoto ameshika namba ngapi au shule imeshika namba ngapi, naweza kusema matokeo ni mazuri maana 78% ya wanafunzi wamepata Division 0ne ambao wote wana uhakika wa kwenda chuo kikuu (mchawi ni bodi ya mkopo na mzazi kushindwa kulipa ada tu). Na hao wa Division 3 huenda kuna kadhaa nao wanaweza wakapata nafasi chuo kikuu kama wana D mbili na wengine wanaobaki wanapiga Diploma
Hiyo 78% ya division one umeipataje…?
Hebu tufanyie hesabu utuambie na division 2 zipo asilimia ngapi boss…!!
 
Ila chumaaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Watu mna hasira hadi kwa Watoto!! Hamna hata aibu nyie ndio mlipata four na zero, hao Watoto wameweza, wameweza na wameweza tena kama unabisha weka matokeo yako wewe tulinganishe
 
Back
Top Bottom