Matokeo ACSEE Chato Secondary iliyowahi kuongoza wakati wa Rais Magufuli kutoka namba 1 hadi 400+

Matokeo ACSEE Chato Secondary iliyowahi kuongoza wakati wa Rais Magufuli kutoka namba 1 hadi 400+

Hiyo 78% ya division one umeipataje…?
Hebu tufanyie hesabu utuambie na division 2 zipo asilimia ngapi boss…!!
Sorry nilimaanisha Division 1 and 2 ni 78% na ndio maana Division 3 nikawatenga, naona kichwa kilikuwa mbele kuliko kuandika
 
Kutoka namba moja mpaka 400 unaona ni kawaida
Namba 400 lakini asilimia kubwa wametimiza kigezo cha kuingia chuo kikuu, hicho ndio cha msingi. Na matokeo haya yanaweza kutumika kama chachu ya kuwahimiza wanafunzi waliopo waweze kufanya vizuri kama wale ambao walisababisha shule kuongoza
 
Mtoa mada acha kuruka ruka.

Leta hayo matokeo ambayo imewahi kushika namba moja.

Uko na kuhemkwa tu.
 
Namba 400 lakini asilimia kubwa wametimiza kigezo cha kuingia chuo kikuu, hicho ndio cha msingi. Na matokeo haya yanaweza kutumika kama chachu ya kuwahimiza wanafunzi waliopo waweze kufanya vizuri kama wale ambao walisababisha shule kuongoza
Angalia trend bro,kutoka 1 mpaka 400 mwakani watakuwa 800 wanapotea hivyo
 
Back
Top Bottom