Kutoka namba moja mpaka 400 unaona ni kawaidaKwa sie tusioangalia mtoto ameshika namba ngapi au shule imeshika namba ngapi, naweza kusema matokeo ni mazuri maana 78% ya wanafunzi wamepata Division 0ne ambao wote wana uhakika wa kwenda chuo kikuu (mchawi ni bodi ya mkopo na mzazi kushindwa kulipa ada tu). Na hao wa Division 3 huenda kuna kadhaa nao wanaweza wakapata nafasi chuo kikuu kama wana D mbili na wengine wanaobaki wanapiga Diploma
Hio 400 umeitoa wapi?Kutoka namba moja mpaka 400 unaona ni kawaida
Tuwekee na ushahidi wa hio nafasi ya 400+...watu hawana div 4 wala zero 400 wamefikaje? Shule ya kata kutokua na div 0 or 4 tena huko mkoani wamejitahidi sana. Kuna Shule kubwa tu hapa jijini hayo matokeo hawana.
Tuwekee na ushahidi wa hio nafasi ya 400+...watu hawana div 4 wala zero 400 wamefikaje? Shule ya kata kutokua na div 0 or 4 tena huko mkoani wamejitahidi sana. Kuna Shule kubwa tu hapa jijini hayo matokeo hawana.
Hiyo 78% ya division one umeipataje…?Kwa sie tusioangalia mtoto ameshika namba ngapi au shule imeshika namba ngapi, naweza kusema matokeo ni mazuri maana 78% ya wanafunzi wamepata Division 0ne ambao wote wana uhakika wa kwenda chuo kikuu (mchawi ni bodi ya mkopo na mzazi kushindwa kulipa ada tu). Na hao wa Division 3 huenda kuna kadhaa nao wanaweza wakapata nafasi chuo kikuu kama wana D mbili na wengine wanaobaki wanapiga Diploma
Ngoma ya watoto haikeshi aisee nimeamini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tupe hayo matokeo ambayo ilishika namba moja tuyaone
Wamejitahidi sana,hawana 4 wala ziro
Hiyo nafasi ya kwanza nayo atupe link yakeHio 400 umeitoa wapi?