Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Hahahaaaaa. Umekuwa kama Ghazwat unavyojipa moyo na kisahau kule sio Uwanja wa Lipuli wala Stand Mtani.

Maana yule Nguvu moja mwenzio Simba ikifungwa huwa anapita kimya kimya na nahisi anapataga homa. 🙈
Kihemu hemu kipo mtani, si unajua waarabu kwa fitna wana tuchezesha usiku wa SAA 4 tena wenye baridi kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…