Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Hahahaaaaa. Umekuwa kama Ghazwat unavyojipa moyo na kisahau kule sio Uwanja wa Lipuli wala Stand Mtani.

Maana yule Nguvu moja mwenzio Simba ikifungwa huwa anapita kimya kimya na nahisi anapataga homa. 🙈
Kihemu hemu kipo mtani, si unajua waarabu kwa fitna wana tuchezesha usiku wa SAA 4 tena wenye baridi kali
 
Umeonaee. Na msisahau kwamba kwa Mkapa mliwafanya nini ni dhahiri nao watataka kulipiza na kujiweka katika nafasi nzuri pia.
IMG_20190309_115258_301.JPG
ni kweli mtani lakini kwa msaada wa Mohammed kagere naimani tutatema tu Leo pale
 
Back
Top Bottom