Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hazisaidii kama upo Mkiani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As vita wanataman mechi ifutwe maan washajua kitakachowakuta taifaIla wamevunja rekodi yaani usiku wapili kunapambazuka wako mkiani. [emoji23][emoji23]
Unafanya kaz kwa wahindi maan uko ndo hakuna mda maalum wa kulaHahaaa. Mi bado namalizia hapa.
Ndio kwa Wahindi huko Mtani. [emoji41][emoji41][emoji41]
Jumamosi si mbaliAs vita wanataman mechi ifutwe maan washajua kitakachowakuta taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole karibu ushuaniNdio kwa Wahindi huko Mtani. [emoji41][emoji41][emoji41]
Poa. Mzima?
Huku huku kunatosha.
Ili mshinde mechi na Villa?
wacha weeWatoke Droo,Kisha Simba ashinde,Simba atakuwa na point 9,point zitakazoweza kufikiwa na kupitwa na Al ahly tu,Vita na Saoura watakuwa na point 5 hata wakishinda game zao za mwisho wataishia point 8 ambazo zitakuwa zimeshapitwa na Simba,kifupi wakitoka droo na Simba ikashinda tutaenda airport kuwapokea Simba kama mashujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha wee
Uku Simba Uku United[emoji28][emoji28][emoji28] Mtasubiri sana na mjiandae kisaikolojia kwa ajili ya jumamosi maana la sivyo tutawapoteza wengi na mnavyojua kuzimia sasa mtazimia sana siku hiyo.
Duuh