umeshafanyika na CCM wameshinda, kapumzike tu Mkuu.
Invisible said:Ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa, CHADEMA inaelekea wameweza kuwashinda kwa karibu kabisa CCM kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Biharamulo hii leo.
Mpaka zinapatikana hesabu za mwishomwisho kukiwa bado kituo kimoja cha Nyabugombe B chenye wapiga kura 394 CHADEMA ilikuwa ikiongoza kwa 50.6% huku CCM ikiifuatia kwa karibu ikiwa na asilimia 48.8% ya kura zote na TLP ikiwa imejinyakulia 0.55% ya kura zote.
Matokeo yanatarajiwa kutangazwa rasmi punde
Lakini matokeo ambayo yamejumlishwa mpaka dakika hii ni haya:
CHADEMA: 17,313
CCM: 16,682
TLP: 187
Turnout ilikuwa 39.24% (incredible!)
========================================
Invisible said:UPDATE 2.
Tume ya uchaguzi imesema hivi:
CCM: 17,561 = 51%
CHADEMA: 16,670 = 48.4%
CHADEMA wameyakataa matokeo kwani wanadai matokeo ya kata 3 yamegeuzwa tofauti na walivyosaini wasimamizi wa matokeo na yalivyohesabika vituoni!
Hivi demokrasia ni wakishinda Chadema tu?
Acha unazi kama mnataka m-baki peke yenu Chadema semeni tu tutawaachia
Wote ni wezi watupu, Ni wezi tena sana dawa yao inachemka . Hatutaki Tume ya uchaguzi
Hizo ndio nyimbo zenu kila siku, chama dume chini ya usimamizi wa tingatinga washafanya mavituuuuzzz!!!
Briion on local councils election now..
Btwn karibuni to toss ninafungua plastic langu la mbege sasa
Nilishasema mambo ya Tume ya Uchaguzi!! TUME YA CCM. WAKURUGENZI WA CCM, WOTE NI MALI ZAO. HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI HATA KIDOGO. Wawe wanasema mapema kama kuna haja ya uchaguziTume ya uchaguzi muhimu sana, inapaswa kuifanyia marekebisho tume hii ya Makame iwe huru, na hii sheria ya mkurugenzi wa halmashauri anayeteuliwa na PM kuwa msimamizi wa chaguzi ndogo ni mbaya inatoa nafasi ya upendeleo kwa chama twawala.
JF mnaipendelea Chadema wazi wazi mnaoshindwa ninmi kuweka heading CCM yashinda Biharamulo badala ya matokeo ya Biharamulo? Mbona walipokuwa "wakishinda" Chadema heading ilikuwa Chadema yaibwaga CCM?
Acha unazi kama mnataka m-baki peke yenu Chadema semeni tu tutawaachia
NB ni hii pia mtafuta poa tu mkimaliza nifungieni kabisa!