Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

habari zilizotufikia hivi punde CCM imeshinda nafasi ya ubunge
 
umeshafanyika na CCM wameshinda, kapumzike tu Mkuu.

Kwa hili hatuwezi kukaa kimya.

Invisible said:
Ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa, CHADEMA inaelekea wameweza kuwashinda kwa karibu kabisa CCM kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Biharamulo hii leo.

Mpaka zinapatikana hesabu za mwishomwisho kukiwa bado kituo kimoja cha Nyabugombe B chenye wapiga kura 394 CHADEMA ilikuwa ikiongoza kwa 50.6% huku CCM ikiifuatia kwa karibu ikiwa na asilimia 48.8% ya kura zote na TLP ikiwa imejinyakulia 0.55% ya kura zote.

Matokeo yanatarajiwa kutangazwa rasmi punde

Lakini matokeo ambayo yamejumlishwa mpaka dakika hii ni haya:

CHADEMA: 17,313

CCM: 16,682

TLP: 187

Turnout ilikuwa 39.24% (incredible!)

========================================

Sasa haya yanakujaje???

Invisible said:
UPDATE 2.

Tume ya uchaguzi imesema hivi:

CCM: 17,561 = 51%

CHADEMA: 16,670 = 48.4%

CHADEMA wameyakataa matokeo kwani wanadai matokeo ya kata 3 yamegeuzwa tofauti na walivyosaini wasimamizi wa matokeo na yalivyohesabika vituoni!

Kweli Nchi yetu bado inasafari ndefu sana ili kuwa na Demokrasia ya kweli.
 
JF mnaipendelea Chadema wazi wazi mnaoshindwa ninmi kuweka heading CCM yashinda Biharamulo badala ya matokeo ya Biharamulo? Mbona walipokuwa "wakishinda" Chadema heading ilikuwa Chadema yaibwaga CCM?

Acha unazi kama mnataka m-baki peke yenu Chadema semeni tu tutawaachia

NB ni hii pia mtafuta poa tu mkimaliza nifungieni kabisa!
 
Wote ni wezi watupu, Ni wezi tena sana dawa yao inachemka . Hatutaki Tume ya uchaguzi
 
Wenzio hawataki isomeke hivyo, labda ungesema Chadema "waibiwa" Biharamulo hapo kwa standards za jf poa Im sure hii itavumishwa hukooo!!
 
CCM hongereni sana.Chadema poleni sana.
 
Quote: masatu
tehe teh teh!

Haya sasa wenye wivu chukueni kamba zenu mjimalize!

We do not need you attention anyway hypocrite Masatu!Na sidhani kama familia yenu(Masatu) ipo njema kiasi kwamba unafurahia sana kwa CCM kushinda Biharamulo,si ajabu wazazi wako ni sawa na wazazi wa watu wengi nyumbani TZ ambao wanakwenda hospitalini hukosa dawa,hamna maji saafi na salama ya kunywa na hata elimu labda ya wajomba zako kama si wadogo zako na kaka zako ni haba kiasi kwamba wanakaa chini kwa kukosa madawati!

Masatu CCM ina wenyewe na wewe sidhani kama ni mmoja wao,sisi na wewe wote"tumefulia"na kuiacha nchi hii ikiliwa na akina Kinje ambao hata hajawahi kufikiria kwenda Kenya tu hapo jirani kutafuta maisha maana hamna anachokosa TZ. Masatu si ajabu na wewe unaandika habari hii ukiwa nje ya TZ ulipoenda ama kama mkimbizi wa kipato au mkimbizi wa elimu au vyote kwa pamoja kwa maana CCM hamna walichobakiza nyumbani!

Nasisitiza tena 'shame on you Masatu'!Here we Go CHADEMA na hamjafanya vibaya Biharamulo wala Busanda ila tume ya Jaji Makame kwa amri ya JK kawapa ushindi CCM!

Masatu CCM waachie akina Masha,akina Ngeleja,akina Nauye na wote waliopo ndani ya CCM ambao faida yao kuwepo pale CCM ni kubwa!Masatu,What do you have for being die-hard CCM supporter?And worse still you dont have any potential to be in CCM cycle!

This dude makes me outspoken and i'm very sorry for any inconvenience guys/ladies
 
duh ccm kiboko!
hongereni sana .....
ikiwa imeiba ikiwa imeshinda kwa kweli sidhani kama ni msingi sana ..........kwa kuwa matokeo halali ni yanayotolewa na tume ya uchaguzi.
 
Acha unazi kama mnataka m-baki peke yenu Chadema semeni tu tutawaachia

Hatimaye tunaweza sasa kwenda kwenye maonyesho ya 7-7 kule TMK viwanja vya CCM (sorry Mwalimu Nyerere) ili tupata moja baridi moja moto KIZOTA BAR

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI na CCM OYEEEEEEEEEEEEEE!
 
Wote ni wezi watupu, Ni wezi tena sana dawa yao inachemka . Hatutaki Tume ya uchaguzi

Tume ya uchaguzi muhimu sana, inapaswa kuifanyia marekebisho tume hii ya Makame iwe huru, na hii sheria ya mkurugenzi wa halmashauri anayeteuliwa na PM kuwa msimamizi wa chaguzi ndogo ni mbaya inatoa nafasi ya upendeleo kwa chama twawala.
 
Naungana na wewe kabisa katka hilo kuna Tatizo labda huyu Mzee kwasababu amezeeka na hayupo makini sana
 
Hizo ndio nyimbo zenu kila siku, chama dume chini ya usimamizi wa tingatinga washafanya mavituuuuzzz!!!

Briion on local councils election now..

Btwn karibuni to toss ninafungua plastic langu la mbege sasa

Unashangilia kuchochea kuni za moto wa kuchoma taifa lako na kizazi chako?

Kwa mwendo huu kama tutafika 2015 ujitahidi kuwa umeshahamisha familia yako yote kama wanavyofanya wenzio waliojichukulia vyao mapema maana hapo ndipo mstari utakapochorwa......

CHADEMA huu ni muendelezo mzuri wa ushindi kwenu, hakikisheni hampunguzi speed, wingi wa viti bungeni 2010 ni muhimu kwa kulinda na kuendeleza demokrasia hohe hahe tuliyonayo na kujenga misingi ya demokrasia makini hapo mbeleni. Safari ni ndefu lakini uvumilivu, busara na umakini wa hali ya juu, Tanzanianjema tuiotayo itafanikishwa....

Muhimu zaidi sasa ni uchaguzi wenu wa ndani haswa nafasi ya mwenyekiti na mgombea urais, uboreshaji wa kiasasi na kimikakati na zaidi kuwa karibu zaidi na wananchi wa majimbo mliyonayo na mengine yote ambayo mlishinda kura lakini mkashindwa uchaguzi.....

Pia wakati umefika wa kuwakaribisha mezani CUF kwa masuala ya uchaguzi ujao....msijione kuwa mnaweza kila kitu...ushirikiano wenu ni muhimu kwa kuendeleza demokraisa ya vyama vingi katika nchi yetu...



omarilyas
 
Tume ya uchaguzi muhimu sana, inapaswa kuifanyia marekebisho tume hii ya Makame iwe huru, na hii sheria ya mkurugenzi wa halmashauri anayeteuliwa na PM kuwa msimamizi wa chaguzi ndogo ni mbaya inatoa nafasi ya upendeleo kwa chama twawala.
Nilishasema mambo ya Tume ya Uchaguzi!! TUME YA CCM. WAKURUGENZI WA CCM, WOTE NI MALI ZAO. HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI HATA KIDOGO. Wawe wanasema mapema kama kuna haja ya uchaguzi
 
JF mnaipendelea Chadema wazi wazi mnaoshindwa ninmi kuweka heading CCM yashinda Biharamulo badala ya matokeo ya Biharamulo? Mbona walipokuwa "wakishinda" Chadema heading ilikuwa Chadema yaibwaga CCM?

Acha unazi kama mnataka m-baki peke yenu Chadema semeni tu tutawaachia

NB ni hii pia mtafuta poa tu mkimaliza nifungieni kabisa!

kata rufaa tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom