Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

nimeenda kulala najua chadema wameshinda, nimeamka nikasema ngoja niangalie kuna nini kipya sherehe za hushindi n.k, mara naona kicha cha habari kingine kulikoni...

nilivyoona jimbo la biharamulo magharibi nikazania jana kulikuwa na chaguzi mbili moja ya biharamulo na nyigine ya biharamulo magharibi kwa hiyo chadema wameshinda biharamulo na ccm biharamulo magharibi kumbe ni hilo jimbo moja, I am shocked

kila nchi imemwaga damu ili kupata demokrasia na Tanganyika sio tofauti, ZNZ wameshamwaga damu tiyari angalau kura za pemba haziibiwi
Tanganyika wakati wa kuamka ndio sasa, lakini kinachonishangaza kuna watu wengi ambao ni fukara na washabiki wa kubwa wa ccm je hawajiulizi ccm imewafanyia nini

upinzani usikubali kuingia bungeni, ugomee kuingia bungeni...
wabunge wa ccm hawawezi kukaa peke yao
 
Tunahitaji jeshi tu sasa hivi maana hali jinsi ilivyo kuna ufisadi kila sehemu maana kuna mambo ya ajabu sana katika chaguzi zetu. Hakuna haja ya kuwa na chaguzi ndogo kama hizi za huko Kagera

hilo jeshi lenyewe ni ccm b mafisadi
 
Washikaji sikilizeni yatakayotokea kuanzia kesho


Kwa kweli huwa si mpenzi wa fujo, na niliwa shangaa sana wakenya walivomalizana mwaka juzi, Sasa imeniingia akilini kumbe nao walikuwa ni watu na akili zao!

Kumbe bila shari shwari ni ndoto
 
Sasa nimeamini ya kuwa CCM ni mamafia kwa kupindukia. Lol!
 
kwi kwi kwi kwi..........yaani mlifikir mnaweza kutushinda kirahisi rahisi hivyo.....huku Mzee Tinga tinga mwenyewe akiwa ndani ya nyumba.............na mngeshinda tungekata rufaa...........i said it.......na sasa mjionee....mkakati ni kurudisha majimbo yote kwa CCM
 

Mkuu unaroho ngumu sana
 
Tutafika huko ambako CCM wanataka twende maana hakuna jipya juu yao na ni DHAMBI sana kuua na kuumiza Demokrasi. Mimi nasema kuna mkono hata wa mzee wetu wa kaya. maana ni mazingaombwe ya ajabu sana katika chaguzi hizi. mara mia moja kusiwe na chaguzi ndogo kama hizi
 


TUME HURU YA UCHAGUZI TANZANIA?????!! kama ya akina KIVUITU? pale Kenya. Hilo ndugu ni ndoto, demokrasia kwa africa???
hebu fanya imagination hapa bongo tutaweka akina nani watakaokuwa faithful kwa wananchi (wapenda nchi) tehetehe ambao watakuwa against serikali iliyopo madarakani (ambayo hopefully itakuwa inawalipa mishahara na posho nyingi)
watu wanaangalia maisha bwana na si uzalendo kwikwikwi

kazi tunayo kubwa sana ya kurekebisha mfumo ili kuwe na demokrasia
 
Sina comments mpaka nisikie declaration ya Chadema! Maana toka usiku najua Chadema is a winner! whats up?
 
Nchi hii ina laana gani jamani, aaaaagh!
 
Siwezi kusema maana kama ni nani labda Kakobe pekee yake au maskhe na maskofu. but ni kuwa na watu toka katika makundi yote ya jamii, wasomi toka vyuo mbalimbali, asasi yaani NGO's Makanisa, Na taasisi nyingine kila kundi katika jamii na kupewa somo. Lakini huu mchezo wa kuigiza ni hatari sana sana katika taifa letu. Wizi wa mazigaombwe na ni DHAMBI sana CCM na ndio maana Mungu atawadhibu
 

jamani mbona munatuchemsha mwenye ukweli ni Pisco au wewe kaka ,tusaidieni nani kashinda
 
Tutafika lakini tusije fanya uamuzi wakati tumekasirika kama sasa...nafikiri CCM ni wahuni kila chama cha kweli cha upinzani imeonja janja ya CCM (I mean CUF na Chadema) wakae wawaandae watanzania kufanya mapinduzi ya kwelikweli...hivi hivi wanafurahia wanavyotugawa...nadhani tunahitaji uongozi mbadala uwe wa jeshi au chama???
 
TBC ! ni ya propaganda huoni wakitoa picha za mikutano wanazichanganya ili usijue umati ni wa chama kipi watakuja kula ujanja wao siku mmoja nchi hii yetu wote
 
Tazama kura hizo maana idadi yao iliyoandikishwa ni wengi na wamejitokeza wachache sana, Mimi nasema kuwa watu tumechoka kwa tabia ya kuigiza na mzee wa kisanii kama hii. afadhali kusiwe na chaguzi kabisa ,maana watu kupoteza muda. kila kitu ni cha CCM hivyo wanachofanya ni kitu kibaya kabisa katika taifa letu na wapemba demokrasia Duniani kote. Mimi naona kuwa CCM hawana tofauti kabisa na Mugabe japo wanamuona ni kituko
 
2010 serikali haina majeshi ya kuweza kuzuia fujo bara na visiwani, na waamini wa ZNZ lazima watakiwasha na kikiwaka ZNZ na bara lazima kiwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…