Tume ya Uchaguzi imetangaza ndoto ya Kikwete aliyoota usiku. Kama unaamini ndoto za Raisi ni reality basi CCM wameshinda Biharamulo na Tume haijabadilisha matokeo ya baadhi ya vituo.
kwi kwi kwi kwi..........yaani mlifikir mnaweza kutushinda kirahisi rahisi hivyo.....huku Mzee Tinga tinga mwenyewe akiwa ndani ya nyumba.............na mngeshinda tungekata rufaa...........i said it.......na sasa mjionee....mkakati ni kurudisha majimbo yote kwa CCM
kuamrisha tume ya uchaguzi kutangaza chama cha rais kimeshinda ni utawala mbovu. Shame on you kikwete!
na mufti Simba unamshauri hivi???
Kwi kwi kwi!!!....yaani nimewaonea huruma kweli CHADEMA asubuhi ya leo. Ni kama ile ya Bush kumshinda Kerry, yaani siku ile sitaki kuisahau. Nililala nikiamini jamaa ameshinda, kuamka asubuhi nikafikiri naota ndoto.
Walikuwa na nafasi ya ku capitalize haya makosa ya CCM na ufisadi lakini inaelekea wanashindwa kuandaa mkakati wa ushindi. Kuanzia sasa hakuna uchaguzi mdogo tena mpaka ngoma kuu 2010.
Mzee Tainga Tainga kaweka record ya kushinda majimbo yote kwenye chaguzi ndogo. Hata Tarime wangempeleka yeye huenda jimbo lingelikuwa la CCM.
Watani wa CHADEMA poleni sana, mwondoeni huyo msanii wenu Mbowe labda chama kitabadilika. Mbowe karibu kila kitu hana tofauti na akina JK au Lowassa, in fact ni rafiki yao kwenye ulaji.
ni huyo huyo; makamba atakuwa kapigiwa asubuhi ile akasave hicho kiti wasikiachie; shame on him
Sijajua kuwa maana kuna habari kuwa CCM imeshinda sasa inakuaje?? Mbona unaleta uongo tena na majungu hapapole sana Mkuu
labda wamepata kutoka Tume maana hapa taarifa tunazopata ni kuwa tume imetangaza ila chadema wamekataa na hivyo bado kuna malumbano