CUF na TLP walikuwa wasindikizaji kwenye mbio hizi... Kura zao zinaashiria kuwa walikuwa wanapoteza muda tu, baadhi ya vituo walikuwa wanapata kura 0!

Samahani kuwa Sheikh Yahya kwa hili.
Nadhani tukubaliane kwamba CUF is over!!!
Samahani kuwa Sheikh Yahya kwa hili.
Nadhani tukubaliane kwamba CUF is over!!!
Kasheshe,
Upinzani Tanzania Bara unaonekana kuwa baina ya CCM na CHADEMA... CUF inaanza kupoteza umaarufu kwa kasi tu, hapa ndipo naikumbuka topic moja hoja moja hapa JF inayouliza "Nini tatizo la CUF"

CUF nao kwisha habari yake. Viongozi wajifunze kusimamia integrity zao na waache kuambatana na mafisadi. Maana kitendo cha Lipumba na Hamadi kuegemea upande wa fisadi RA wakati wa ungomvi wa mafisadi papa na fisadi nyangumi kimewa-put off wananchi.
Viongozi wa CUF hawana misimamo ya kueleweka na hii inatia wasiwasi sana. Pia huwa wanadandia issues na kuzitolea misimamo bila kutafakari madhara yake.
CUF ni Maalim Seif + Pemba mazee.... sehemu nyingine za Tz ni wasindikizaji tu...Nadhani ingekuwa busara kama wangekubali kuunganiasha nguvu zao na CHADEMA........
CUF ni Maalim Seif + Pemba mazee.... sehemu nyingine za Tz ni wasindikizaji tu...Nadhani ingekuwa busara kama wangekubali kuunganiasha nguvu zao na CHADEMA, (ikiwa wataweza kuweka uislam pembeni)
CUF nao kwisha habari yake. Viongozi wajifunze kusimamia integrity zao na waache kuambatana na mafisadi. Maana kitendo cha Lipumba na Hamadi kuegemea upande wa fisadi RA wakati wa ugomvi wa mafisadi papa na fisadi nyangumi kimewa-put off wananchi.