Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 790
CUF na TLP walikuwa wasindikizaji kwenye mbio hizi... Kura zao zinaashiria kuwa walikuwa wanapoteza muda tu, baadhi ya vituo walikuwa wanapata kura 0!
Nimesoma kitu kimoja tangu chaguzi ndogo zianze, CHADEMA na CCM sasa hivi ushindani ni kama CUF na CCM Zanzibar.
Tunaenda vizuri kwa maoni yangu!!!
CHADEMA inatakiwa kupata resources tu za kutosha na akina Kitila Mkumbo waombe likizo wakasaidie Chama. especially akaungane na Benson Kigaila... hivi ndio vichwa ninavyoamini pale CHADEMA.