Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Hongereni wana Chadema wote. Let us now look there upstairs 2010
 
#
Hongera CCM. Sasa Chadema msigeuke kama wale maswahiba zenu wa CUF wanavyofanya kule Zenj (msiandamane na kuulisha watu). Ushindi ni ushindi hata wa asilimia ndogo ya kura.

Sera za CCM zinakubalika Chukuwa Chako Mapema, Kambarage aalikuwa akijidanganya na siasa zake za ujamaa na kujitegemea eti mali ya uma kwani yeye hakuwa miongoni mwa huo uma ?
 
Yaani sisi kama wadau tumechoka na huo usanii wa CCM kama ndio hivyo tuongeze nguvu hata humo ndani ya JF!! Kwa hiyo unasema mambo bado

Nakuunga mkono, CCM imeshatuchosha kabisa. Angalia muda unaopotezwa kwa kurudia rudia kuhesabu kura kwa sababu wameshindwa. Kwa kuendelea kuongozwa na CCM itachukua muda mrefu sana Tanzania kuacha kuomba omba misaada kutoka Ulaya na Marekani.
 
Guys; Results bado kutangazwa; nakumbuka Busanda ililazimisha matokeo kutangazwa baada ya chadema kutaka yahesabiwe upya; what is going on there? Let Chadema wachukue kiti kimoja waweke kibindoni; no way; no how; No CCM in Biharamulo
 
Hongereni wote mliofanikisha ushindi huu huko Bihalamuro...tupo pamoja...kazi ndio imeanza..message sent
 
Ni somo zuri kwa Mrema na wenzake

Yeye mwenyewe kasha-declare toka juzi kuwa ni MGUMBA. We still need opposition party unity if they real want to shine there upstairs 2010
 
mkuu hiyo link siioni, unaweza nisaidia mwongozo wa kuipata

Mkuu Kinepi...., link ni kwenda kwenye ile post ya CCM yashinda...., kweye posti yangu ya kwanza uliyoulizia swali, hebu gonga pale kwenye red manake nimebadilisha text color...
 
miaka zaidi ya 30 jimbo moja CCM na nguvu zote inazotumia bado hawakubali kuwa uongozi wao ni jehanam kwa wananchi, hawaoni hivyo.kazi kweli kweli 2010 kila mmbunge atakuwa menyewe hapo tutawatoa roho mafisadi kikundi.
 
Nashindwa kuelewa nini kinaendelea wanarudia kuhesabu au inakuwaje Mkuu Kinepi nepi?
 
Mzee bado ana ndoto za kushika hatamu ya uongozi...bado anaota kuwa urais ni wake 2015.
 
Guys; Results bado kutangazwa; nakumbuka Busanda ililazimisha matokeo kutangazwa baada ya chadema kutaka yahesabiwe upya; what is going on there? Let Chadema wachukue kiti kimoja waweke kibindoni; no way; no how; No CCM in Biharamulo

Sasa kinachongojwa ni kitu gani kutangaza hayo matokeo??? Hii Nchi inahitaji tupigane siku moja ndio tutaheshimiana. CCM bado inaamini kuwa itakuwa madarakani milele. Ukifanyika UFISADI wa aina yoyote ile kwenye matokeo ya Biharamulo hapata kalika.

Matokeo ambayo yalitakiwa kutangazwa tangu saa nne asubuhi hayajatangazwa mpaka sasa hivi saa sita na kk 11, ukiuliza reason utaambiwa ni kwasababu SISIEMU haikubali kushindwa.

TANZANIA BILA YA CCM INAWEZEKANA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Nashindwa kuelewa nini kinaendelea wanarudia kuhesabu au inakuwaje Mkuu Kinepi nepi?
Walikubaliana kujumlisha upya tarakimu zikaleta sura ya wizi, kitimtim kikaanza simu hazipatikani nafikiri kila mmoja kakumbatia chake kwani ni kama vitani.
 
miaka zaidi ya 30 jimbo moja CCM na nguvu zote inazotumia bado hawakubali kuwa uongozi wao ni jehanam kwa wananchi, hawaoni hivyo.kazi kweli kweli 2010 kila mmbunge atakuwa menyewe hapo tutawatoa roho mafisadi kikundi.

Maneno matupu !!! rafiki yangu.

2010 wapinzani wahesabu kuumia zaidi,angalia chama kizima kipo kwenye jimbo moja nabado wanababaishwa je mwakani ambapo kila mgombea atakuwa analinda kura zake ?? teh teh teh sipati picha.

Mlio na matumaini makubwa 2010 anzeni kuumia mapema,haswa walio wafuasi wa vyama.
 
MkamaP twajikongoja ila twaja 2010 tutakuwa pazuri wenye presha ni Chama ya Fisadi wao ndio uwaulize 2010 wataweza kujazana wote kwenye jimbo moja? CCM wanajazana na kutumia polisi, mgambo, usalama wa taifa kwenye jimbo moja na mawaziri wengi 2010 watamlinda kikwetu tu na kila mmbunge atakuwa jimboni kwake akijiugulia maumivu halafu sisi wasaka nyoka tutakuwa tunatoa doze kila pembe ya dunia na nchi count on me tutaongeza viti bungeni bwerereee. Chadema kwa demokrasia na ustawi wa jamii iliyosawa mbele ya sheria.
 
Watu msome 1st post kila wakati kuangalia updates! Kuna changes kwa sasa
 
Nakuunga mkono, CCM imeshatuchosha kabisa. Angalia muda unaopotezwa kwa kurudia rudia kuhesabu kura kwa sababu wameshindwa. Kwa kuendelea kuongozwa na CCM itachukua muda mrefu sana Tanzania kuacha kuomba omba misaada kutoka Ulaya na Marekani.
Mzee tumechoka na huu usanii wao
 
Back
Top Bottom