kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 239
mkuu hiyo link siioni, unaweza nisaidia mwongozo wa kuipataMkuu Kinepi.... kuna link ndio nimeiweka hapo na sio ujumbe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiyo link siioni, unaweza nisaidia mwongozo wa kuipataMkuu Kinepi.... kuna link ndio nimeiweka hapo na sio ujumbe...
#
Hongera CCM. Sasa Chadema msigeuke kama wale maswahiba zenu wa CUF wanavyofanya kule Zenj (msiandamane na kuulisha watu). Ushindi ni ushindi hata wa asilimia ndogo ya kura.
Yaani sisi kama wadau tumechoka na huo usanii wa CCM kama ndio hivyo tuongeze nguvu hata humo ndani ya JF!! Kwa hiyo unasema mambo bado
Ni somo zuri kwa Mrema na wenzake
mkuu hiyo link siioni, unaweza nisaidia mwongozo wa kuipata
Guys; Results bado kutangazwa; nakumbuka Busanda ililazimisha matokeo kutangazwa baada ya chadema kutaka yahesabiwe upya; what is going on there? Let Chadema wachukue kiti kimoja waweke kibindoni; no way; no how; No CCM in Biharamulo
Nashindwa kuelewa nini kinaendelea wanarudia kuhesabu au inakuwaje Mkuu Kinepi nepi?
Walikubaliana kujumlisha upya tarakimu zikaleta sura ya wizi, kitimtim kikaanza simu hazipatikani nafikiri kila mmoja kakumbatia chake kwani ni kama vitani.Nashindwa kuelewa nini kinaendelea wanarudia kuhesabu au inakuwaje Mkuu Kinepi nepi?
miaka zaidi ya 30 jimbo moja CCM na nguvu zote inazotumia bado hawakubali kuwa uongozi wao ni jehanam kwa wananchi, hawaoni hivyo.kazi kweli kweli 2010 kila mmbunge atakuwa menyewe hapo tutawatoa roho mafisadi kikundi.
Mwenyewe anajua. Nadhani sasa safari ya kurejea CCM itashika kasi
MkamaP twajikongoja ila twaja 2010 tutakuwa pazuri wenye presha ni Chama ya Fisadi wao ndio uwaulize 2010 wataweza kujazana wote kwenye jimbo moja? CCM wanajazana na kutumia polisi, mgambo, usalama wa taifa kwenye jimbo moja na mawaziri wengi 2010 watamlinda kikwetu tu na kila mmbunge atakuwa jimboni kwake akijiugulia maumivu halafu sisi wasaka nyoka tutakuwa tunatoa doze kila pembe ya dunia na nchi count on me tutaongeza viti bungeni bwerereee. Chadema kwa demokrasia na ustawi wa jamii iliyosawa mbele ya sheria.Maneno matupu !!! rafiki yangu.
2010 wapinzani wahesabu kuumia zaidi,angalia chama kizima kipo kwenye jimbo moja nabado wanababaishwa je mwakani ambapo kila mgombea atakuwa analinda kura zake ?? teh teh teh sipati picha.
Mlio na matumaini makubwa 2010 anzeni kuumia mapema,haswa walio wafuasi wa vyama.
Mzee tumechoka na huu usanii waoNakuunga mkono, CCM imeshatuchosha kabisa. Angalia muda unaopotezwa kwa kurudia rudia kuhesabu kura kwa sababu wameshindwa. Kwa kuendelea kuongozwa na CCM itachukua muda mrefu sana Tanzania kuacha kuomba omba misaada kutoka Ulaya na Marekani.