Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Awali:

Ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa, CHADEMA inaelekea wameweza kuwashinda kwa karibu kabisa CCM kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Biharamulo hii leo.

Mpaka zinapatikana hesabu za mwishomwisho kukiwa bado kituo kimoja cha Nyabugombe B chenye wapiga kura 394 CHADEMA ilikuwa ikiongoza kwa 50.6% huku CCM ikiifuatia kwa karibu ikiwa na asilimia 48.8% ya kura zote na TLP ikiwa imejinyakulia 0.55% ya kura zote.

Matokeo yanatarajiwa kutangazwa rasmi punde

Lakini matokeo ambayo yamejumlishwa mpaka dakika hii ni haya:

CHADEMA: 17,313

CCM: 16,682

TLP: 187

Turnout ilikuwa 39.24% (incredible!)

========================================

UPDATE 1...

Matokeo ya kituo kwa kituo tuliyoyapata toka kwa mwakilishi wa JF jimboni humo yameambatanishwa hapa chini kama attachment:

i511_matokeobiharamulomagharibi.jpg

========================================

UPDATE 2.

Tume ya uchaguzi imesema hivi:

CCM: 17,561 = 51%

CHADEMA: 16,670 = 48.4%

CHADEMA wameyakataa matokeo kwani wanadai matokeo ya kata 3 yamegeuzwa tofauti na walivyosaini wasimamizi wa matokeo na yalivyohesabika vituoni!

========================================

Update 3.

Tume ya Uchaguzi imemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa kura zinazoonyeshwa kwenye Update ya awali ingawa CHADEMA wameyakataa matokeo ya vituo 9 kati ya vituo 237 vya uchaguzi!

========================================

Hakuna nukta iliyoachwa?
 
Pamoja na matokeo hayo ila nafikiri mzee invisible alitu bias kidogo kuhusu ushindi wa CHADEMA.Yeye alilipoti zilizobaki kura kuhesabiwa ni 340 hivi na zilizohesabiwa zimetoka wapi? na ukiangalia ktk makabrasha ya invisible namba za chadema zinaonekana nyingi na Tume imesoma namba kiduchu.

Sitaki kuamini mambo haya kama kuna wizi ama lah! maana simwamini huyo wa tume na pia simwamini invisible kwa data zake.

Kumbe na wewe ushamstukia eeeh!
 
Ebu sema tena,kama ni kweli HONGERA SANA CHADEMA, HONGERA DEMAKRASIA,kazeni buti tuikomboe Tanzania.
 
Si wizi tu, huu ni uhuni, ubabe, ujambazi nashindwa hata kupata neno sahihi linalo weza tumika kueleza ni kitu gani hiki?
CCM wanaharibu hii nchi wakijua wanavibaraka wao (police na JWT) watakao pigana kwaajili yao wakati wao na watoto wao wakiwa wamekimbilia nchi walizo ficha haela zetu walizoiba
 
CCM kwa vyovyote vile inatumia mbinu za kimafia na falsafa ya ki - machavell kushinda. na kwa bahati mbaya kuna watu wako humu kama vile wanashangilia CCM kushinda na kukejeli vyama vilivyoshindwa hasa CHADEMA.

Lakini lazima wajue kwamba sisi watanzania tumeshajua kuwa hakuna tofauti ya wabunge waliopo bungeni na hao ambao CCM kwa kutumia kila njia inajitahidi kuwaongeza.

Hao wanaoshangilia wanapaswa kujiuliza swali moja kubwa. Huyo mbunge aliyepitishwa (siyo kuchaguliwa) na tume ya uchaguzi atabadili nini kwenye haya MAUZAUZA ya BAJETI hii YENYE kila AINA ya UFISADI??
 
..for some reasons i felt like this was going to happen.

..kwamba CCM itatangazwa mshindi ktk dakika za majeruhi.
 
Hilo swali ungepaswa kujuliza mwenyewe,kama CHADEMA wangeshinda ni nini kingebadirika zaidi ya kuongezeka posho la MBOWE?

Pia nakuomba uwe unasema mimi na si sisi watanzania,mfano mimi pia ni mtanzania lakini bado siko tayari kuongozwa na CHADEMA chini ya Mbowe unasema je hapo?
 
Acha ushabiki wako wewe, wewe CCM yako siyo na mwenyewe ni Macelela sio wewe wewe ni mkulima tu!! Sauti za wanyonge zitasikika zaidi
 
Hii ni HATARI sana kwa amani ye Tanzania kuelekea 2010-2015, maana hatupandi mbegu njema hata kidogo. Kwa kawaida haya mambo huwa yanasababisha wananchi kuichukia serikali na viongozi. Lakini nina angalizo moja tu lenye muelekeo wa swali, Je, haya mambo yanavyokwenda hayajajulikana na Chadema kabla? Nadhani walijua ndio maana walijiandaa na data zao kwa kila kituo. Sasa basi ni vyema wakatuliza vichwa vyao na kuibuka na mkakati B ambao utatekelezwa kisayansi kuanzia SASA, na si KESHO, wala baada ya VIKAO. Waangalie na kutafakari kwa undani zaidi.
 
Acha ushabiki wako wewe, wewe CCM yako siyo na mwenyewe ni Macelela sio wewe wewe ni mkulima tu!! Sauti za wanyonge zitasikika zaidi
taratibu jamani msije rushiana ngumi hapa.teh teh teh,wabongo na siasa bwana hatari tupu.
 
Saaafi Saaaaaaana - wana-CCM tupo wengi hivi?===========================================================
Currently Active Users Viewing This Thread: 338 (120 members and 218 guests)
911, African, AmaniKatoshi, Balantanda, Baridijr, Bavuvi, Bint, bob, Bongolander, Buswelu, calipso, cammory, campana, canaan, chap, CreativeThinker, Damky, Dark City, Edo, elly1978, Halisi, hembe, Incognito, Iteitei Lya Kitee, Jafar, Jamil, Josh Michael, JosM, Kagoma Kuwika, Kaitaba, kamakabuzi, Kigarama, Kilasara, kiraia, Kissa Eliakim, Kituko, Kudi Shauri, KUNGUNI, Kyungululu123, Limbani, Longomba, macho_mdiliko, macinkus, Maisha, Malafyale, Malunde-malundi, mande, Manundu, masaiti, masangu, Mateso, Mathias, MaxMase, Mbassa, Mchukia Fisadi, Mfuatiliaji, Middle, Mkaguzi, MkamaP, Mkereketwa, mkomazi, Mong'oo, Mr. Zero, msaranga, Mtzorigino, Mulugwanza, MwalimuZawadi, Mzawa Halisi, Mzeeba, mzeewadriver, mziwanda, Ndaga, ndamwe, NG'WANENE, ngereja, Ngorunde, Nguli, Njilembera, Nono, Nsaji Mpoki, Ntaramuka, nyakyegi, nyati, nzala, Omarilyas, Pasco, Positive Thinker, Prince William, reyla, Riziki James, rolemodel, Safari, Sekenke, Selous, Single D, singu, sksksk, SOARES, SONARA, stanluva, Stanslaus, suelza, Tajiri Mtoto, thinktank, Tiba, tishekwavb, TreasureFred, Tshala, Tuandamane, Ukweliii, vakwavwe, Wakunyuti, Wanzuki, wihanzi, WildCard, Yebo Yebo, ygjunior
==========================================================
 
Wewe ****** niondoe kwenye hiyo list yako.mimi sina shabiki wa chama chochote nji hii.
 
..for some reasons i felt like this was going to happen.

..kwamba CCM itatangazwa mshindi ktk dakika za majeruhi.
Data zilizokuwa zinawekwa hapa zilikuwa sio official.. zilikuwa tetesi!
Watu wakuwa excited na matokeo yasiyo rasmi!
Final results zimetoka, mshindi ameshatangazwa!
NDIO DEMOKRASIA!
Demokrasia kwenye nchi zinazoendelea si kwamba Vyama vya upinzani ndio vishinde tu!
Hata ushindi wa Bush 2000 thidi ya Al Gore ulikuwa ni demokrasia ingawa uliwauma wengi.
Kilichobaki ni kwa walioshindwa kupanga strategies za 2010!
 
Saaafi Saaaaaaana - wana-CCM tupo wengi hivi?===========================================================
Currently Active Users Viewing This Thread: 338 (120 members and 218 guests)
911, African, AmaniKatoshi, Balantanda, Baridijr, Bavuvi, Bint, bob, Bongolander, Buswelu, calipso, cammory, campana, canaan, chap, CreativeThinker, Damky, Dark City, Edo, elly1978, Halisi, hembe, Incognito, Iteitei Lya Kitee, Jafar, Jamil, Josh Michael, JosM, Kagoma Kuwika, Kaitaba, kamakabuzi, Kigarama, Kilasara, kiraia, Kissa Eliakim, Kituko, Kudi Shauri, KUNGUNI, Kyungululu123, Limbani, Longomba, macho_mdiliko, macinkus, Maisha, Malafyale, Malunde-malundi, mande, Manundu, masaiti, masangu, Mateso, Mathias, MaxMase, Mbassa, Mchukia Fisadi, Mfuatiliaji, Middle, Mkaguzi, MkamaP, Mkereketwa, mkomazi, Mong'oo, Mr. Zero, msaranga, Mtzorigino, Mulugwanza, MwalimuZawadi, Mzawa Halisi, Mzeeba, mzeewadriver, mziwanda, Ndaga, ndamwe, NG'WANENE, ngereja, Ngorunde, Nguli, Njilembera, Nono, Nsaji Mpoki, Ntaramuka, nyakyegi, nyati, nzala, Omarilyas, Pasco, Positive Thinker, Prince William, reyla, Riziki James, rolemodel, Safari, Sekenke, Selous, Single D, singu, sksksk, SOARES, SONARA, stanluva, Stanslaus, suelza, Tajiri Mtoto, thinktank, Tiba, tishekwavb, TreasureFred, Tshala, Tuandamane, Ukweliii, vakwavwe, Wakunyuti, Wanzuki, wihanzi, WildCard, Yebo Yebo, ygjunior
==========================================================
kweli CCM inaungwa mkono na wajinga!! yaani mtu anaamini kwamba hawa woote ni wafuasi wa CCm eti kwa sababu wamejiunga kwenye thread hii yenye manufaa kwao!!??
 
Mkuu kwa kawaida WAJANJA huwa hawashindi!
 
hivi limekaaje hili la wakurugenzi wa halmashauri/miji waajiliwa wa serikali za mitaa zilizo chini ya ofisi ya waziri mkuu kuwa wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo? Je kweli tume ya Uchaguzi itakuwa huru hapo? Kuna makamishina wangapi kwenye Tume ya uchaguzi toka vyama vya upinzani?
 
Aleluya!

Ninachoona mimi CCM watangaze Utawala wa Chama Kimoja kwani hawataki kushindwa!
Kulikoni kwahadaa mataifa kuwa Tanzania kuna Democrasia ya Vyama vingi! Period!

Mungu wetu na atusaidie!
 
Acha ushabiki wako wewe, wewe CCM yako siyo na mwenyewe ni Macelela sio wewe wewe ni mkulima tu!! Sauti za wanyonge zitasikika zaidi

Mkuu vipi tena !! teh teh teh teh
Mimi nimesema ccm ni yangu teh teh teh katulize mzee moja baridi ili utulie.CCM ni yao na CHADEMA ni yao huo ndio ukweli wenyewe,kawaulize wakalenjing walivyouana juu ya Raila leo kawaulize tena kuhusu raila.

Kuweni huru tusikubali kupelekwa kama upepo na hili ndilo kosa letu,ukiwa huru wa mawazo utakuwa na raha zako duniani .
 
Back
Top Bottom