Lile goli la kona alitaka pia alikatae, lakina hakuwa na namna maana kipa hajaguswa. Na alipanga kumaliza mechi baada ya ile kona, bahati mbaya kwake likawa goliWakati huo huo anakuacha wewe ufunge,bila kulazimisha kuwa umezidi au kukupa kosa lolote litalokunyima goli.........Huku sio "kubebwa" kama anakubeba pia atahakikisha hufungwi.
Huyu refa lazima ataondolewa kwenye list ya waamuzi kama TFF IPO seriousMechi ilikuwa nzuri sana ispokuwa umakini mdogo wa maamuzi umepunguza sana radha ya Mechi hii.
Kabisa mkuu!Mechi ilikuwa nzuri sana ispokuwa umakini mdogo wa maamuzi umepunguza sana radha ya Mechi hii.
Kwahiyo mkuu unataka mimi na akili zangu tujadili HISIA ZAKO.Kwamba "ALITAKA KUFANYA HIVI AU VILE ,ILA KWA BAHATI MBAYA LIKAWA GOLI"Lile goli la kona alitaka pia alikatae, lakina hakuwa na namna maana kipa hajaguswa. Na alipanga kumaliza mechi baada ya ile kona, bahati mbaya kwake likawa goli
Nakubaraina na mawazo yako has a upande wa mashabiki wa simba kung'oa viti
Kiukweli Mimi Ni shabiki wa simba damu
Ila upuuzi uliofanywa Leo kiukweli haukunipendezesha.
Refa alileta ghazabu sana
Kiasi hata mie uzalendo ulinishinda pale uwanjani na kwanza kutokwa na maneno makali
Lakini si kwa kung'oa viti
Au kuharibu uwanja.
Tukumbuke kuna watu hawana uwanja kama huo
Wanakaa juani
Mpira ni burudani tu.
SIMBA DAIMA
ni kweli unachosema lakini mechi kama hizi zenye ushindani mkubwa refa anatakiwa kuwa makini na mwenye busara. fikiri anakataa goli halali halafu anakubali goli haramu na kadi juu vitu vingine hata kama ni sheria hekima pia itimike.
suala sio kumuondoa,kama yy kala rushwa ya milioni tano si anakuwa amefaidika ?Huyu refa lazima ataondolewa kwenye list ya waamuzi kama TFF IPO serious
Hapa nikulipa tuHUENDA MAAMUZI YAKAWA KURUDISHWA SHAMBA LA BIBI
Hivi leo nani alikua mwenyeji et?
Hivi leo nani alikua mwenyeji et?
MWENYE VIDEO YA GOLI LA SIMBA LA OFFSIDE NA LA YANGA LA MKONO