Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
10,602
Reaction score
8,798
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....

Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vizuri, sii tu kimkoa Bali hâta katika halmashauri 10 bora Hakuna hata moja ya mkoa huo,

Mkoa wa KILIMANJARO umeendelea kuwa kidedea katika elimu kwa kutetea nafasi yake ambapo mwaka huu umekuwa wa 6 kitaifa huku halmashaur ya Moshi Mc ikiwa miongoni mwa halmashaur 10 zilizofanya vizuri
HONGERENI KILIMANJARO

Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
CC
miss pablo
IMG-20211030-WA0012.jpg
 
Kushuka kitaaluma kwa mkoa husika si jambo la kulichukulia haraka haraka. Ukianza kutafiti kidogo kidogo utapata sababu za msingi.

Kuna morale ndogo ya masomo, sera mbovu za mkuu wa mkoa, usimamizi mbovu wa shule n.k
Naam
 
Back
Top Bottom