Njiwa mpole 1997
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 235
- 288
Hatuna sifa za hovyo kama za wahaya na wachagaIringa huwa wanafanya vizuri lakini wapo kimya. Why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna sifa za hovyo kama za wahaya na wachagaIringa huwa wanafanya vizuri lakini wapo kimya. Why?
Kamwene bela myangu unogeWahehe wana akili sana ila huwa hawajisifu kama wahaya na wachaga kama unabisha nenda kavute matokeo ya darasa la saba miaka 10 ilopita uone watoto wa kinyalu wamo tu kwenye top 10. Kamwene watani zangu wala umbwa
Jamaa yangu una utoto mwingi sana.Unabishana na ukweli? Kwamba dar wazaramo ndio wengi KULIKO wageni? Acha ubishi
Nyumba nzuri kama hizo kwa kagera ni 60% tu 40% ni vijumba vya ajabu ajabu takwimu hazidanganyi [emoji2][emoji2]Hizo ni nyumba gan Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tazama hiki kijiji huko bukobaView attachment 1993235View attachment 1993236View attachment 1993237View attachment 1993238View attachment 1993239
Kwani unateseka?Aliyetoa post atakuwa ana interest zake
Ila kusema kweli Kuna mikoa imefanya vizuri kuliko Kilimanjaro
Kamwene mnyakilambo va jamaa iva vanyakwichumila hilo visemwa pakutia dena tuvisukuluve Mukwaviinyika uluhala ipa lwagonite nda yu muvaha vetu Munyigumba...vahehe vina luhala si luhwanaKamwene bela myangu unoge
Kwenye yale mawe na milima lazima gharama za maisha ziwe chini.Iringa na Mbeya ni mikoa bora zaidi kuishi Tanzania. Wako vizuri kuanzia elimu, per capita, gharama nafuu za maisha nk.