Umesahau aina ya wanafunzi wa mwaka husika (kuna mwaka unalamba vilaza darasa zima)Kushuka kitaaluma kwa mkoa husika si jambo la kulichukulia haraka haraka. Ukianza kutafiti kidogo kidogo utapata sababu za msingi.
Kuna morale ndogo ya masomo, sera mbovu za mkuu wa mkoa, usimamizi mbovu wa shule n.k