Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

Leo nimeangalia idadi ya shule za msingi.... Yaan kagera Kuna 960 kuzidi mkoa wa dar na mikoa yote iliyobaki..



We endelea na kusema Vilaza wakati kagera wanazidi kuporomosha mashule na mashule
Kuhusu idadi ya shule hata Kilimanjaro ina shule za msingi 900+ na ni kamkoa kadogo very amaizing
Kwa secondary ni mkoa wa Kwanza tz kuwa na secondary nyingi tz (both o level and A level)
 
Kagera Sasa ndo mkoa wenye shule nyingi zaidi. Shule 960 ukizidi mikoa yote nchini
Shule za secondary mfalme ni Kilimanjaro tu miaka yote ina 315 kagera 265
Shule za msingi Kilimanjaro zipo 900+ kama kuzidiana na kagera hazizid 10
Alafu zingatia Kilimanjaro ni kamkoa kadogo kieneo ndio maana watu wanaita ni israel
HAYA TUJE KWENYE POINT unazumgumziaje kipigo nilichokupiga STD vii?[emoji2][emoji2]
 
Lakin ulevi umewapiga chepe.


Huko Rombo watu wanalewa hatari
Kulewa ni tangu enzi za yesu pesa si ipo? Kampuni ya bia (tbl) ndio mlipa Kodi mkibwa nchini na bia zake 60% soko ni Kilimanjaro
Ni walevi na wanawaburuza vizuri
 
Kulewa ni tangu enzi za yesu pesa si ipo? Kampuni ya bia (tbl) ndio mlipa Kodi mkibwa nchini na bia zake 60% soko ni Kilimanjaro
Ni walevi na wanawaburuza vizuri
Hawanywi bia wanakunywa gongo na mbege zile za 500[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mtu kasahau Hadi watoto.

Ingia YouTube utype Rombo itakuja
 
Ziweke tuone
Nilijua kuwa shule Bora Lazima kagera zijazane kibao....
Watu wenye akili Wana akili hata ufanyeje.
Wahaya na elimu ni Pete na kidole
JamiiForums1577174009.jpg
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....
Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vizuri, sii tu kimkoa Bali hâta katika halmashauri 10 bora Hakuna hata moja ya mkoa huo,mkoa wa KILIMANJARO umeendelea kuwa kidedea katika elimu kwa kutetea nafasi yake ambapo mwaka huu umekuwa wa 6 kitaifa huku halmashaur ya Moshi Mc ikiwa miongoni mwa halmashaur 10 zilizofanya vizuri
HONGERENI KILIMANJARO
CC
miss pablo View attachment 1992357

Halmashauri ya Temeke haipo hapo?
 
Hawanywi bia wanakunywa gongo na mbege zile za 500[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mtu kasahau Hadi watoto.

Ingia YouTube utype Rombo itakuja
Hiyo ni individual view,kwani huyo mtu ni yeye tu mlevi tz nzima? Mbona hata kagera wapo? Kiufupi KWENYE msafara wa kenge na mamba wamo
 
Back
Top Bottom