Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

Leo nimeangalia idadi ya shule za msingi.... Yaan kagera Kuna 960 kuzidi mkoa wa dar na mikoa yote iliyobaki..



We endelea na kusema Vilaza wakati kagera wanazidi kuporomosha mashule na mashule
Kuhusu idadi ya shule hata Kilimanjaro ina shule za msingi 900+ na ni kamkoa kadogo very amaizing
Kwa secondary ni mkoa wa Kwanza tz kuwa na secondary nyingi tz (both o level and A level)
 
Kagera Sasa ndo mkoa wenye shule nyingi zaidi. Shule 960 ukizidi mikoa yote nchini
Shule za secondary mfalme ni Kilimanjaro tu miaka yote ina 315 kagera 265
Shule za msingi Kilimanjaro zipo 900+ kama kuzidiana na kagera hazizid 10
Alafu zingatia Kilimanjaro ni kamkoa kadogo kieneo ndio maana watu wanaita ni israel
HAYA TUJE KWENYE POINT unazumgumziaje kipigo nilichokupiga STD vii?[emoji2][emoji2]
 
Lakin ulevi umewapiga chepe.


Huko Rombo watu wanalewa hatari
Kulewa ni tangu enzi za yesu pesa si ipo? Kampuni ya bia (tbl) ndio mlipa Kodi mkibwa nchini na bia zake 60% soko ni Kilimanjaro
Ni walevi na wanawaburuza vizuri
 
Kulewa ni tangu enzi za yesu pesa si ipo? Kampuni ya bia (tbl) ndio mlipa Kodi mkibwa nchini na bia zake 60% soko ni Kilimanjaro
Ni walevi na wanawaburuza vizuri
Hawanywi bia wanakunywa gongo na mbege zile za 500[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mtu kasahau Hadi watoto.

Ingia YouTube utype Rombo itakuja
 

Halmashauri ya Temeke haipo hapo?
 
Hawanywi bia wanakunywa gongo na mbege zile za 500[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mtu kasahau Hadi watoto.

Ingia YouTube utype Rombo itakuja
Hiyo ni individual view,kwani huyo mtu ni yeye tu mlevi tz nzima? Mbona hata kagera wapo? Kiufupi KWENYE msafara wa kenge na mamba wamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…