Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

Naona Wazaramo na Wandengereko wenzangu wa Dar es salaam na Pwani wameendelea kuwepo kwenye kumi bora za matokeo yote ya NECTA kwa miaka karibu kumi sasa.
Hawamo hao,ni wageni ndio wanaipaisha
 
Kagera Sasa ndo mkoa wenye shule nyingi zaidi. Shule 960 ukizidi mikoa yote nchini
Remind you Kilimanjaro ina shule 952 so mmetuzidi 8 tu
Lakini linganisha kagera ilivyo kubwa na Kilimanjaro ilivyo ndogo
Kilimanjaro ingekuwa kubwa tungefanya maajabu ya mussa[emoji2]
 
Kuna nyakati hadi chato ilitoa tanzania one daaah😂
 
Umepata pa kujifutia machozi mwee[emoji2][emoji2] Ila kimikoa mmefutwa rasmi KWENYE ramani ya elimu
Ahaa wap halafu bado mkoa unatoa shule Bora Kama zote.



Itakuwa ni shule mpya labda zilizoanzisha mwaka huu.

Just imagine mwaka huu tuu zaidi ya shule mpya zaidi ya 20 zimejengwa kagera
 
Yani idadi ya kagera ni zaidi ya watu milion 5 mkoa kilimanjaro ata milion atufiki tuna waziwa kua jiji [emoji23][emoji23]
Kagera ni million tano ya nyoko[emoji23]


Jiji gan mnalo nyinyi zaidi ya vilabu vya mbege vya miatano....


Moshi pamoja na kuwa na stendi lakin bado pameduwaaa Kama Tanga
 
Wahehe wana akili sana ila huwa hawajisifu kama wahaya na wachaga kama unabisha nenda kavute matokeo ya darasa la saba miaka 10 ilopita uone watoto wa kinyalu wamo tu kwenye top 10. Kamwene watani zangu wala umbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…