Umesahau aina ya wanafunzi wa mwaka husika (kuna mwaka unalamba vilaza darasa zima)Kushuka kitaaluma kwa mkoa husika si jambo la kulichukulia haraka haraka. Ukianza kutafiti kidogo kidogo utapata sababu za msingi.
Kuna morale ndogo ya masomo, sera mbovu za mkuu wa mkoa, usimamizi mbovu wa shule n.k
Naam shule za sec Kilimanjaro zipo 316 kagera 265Shule za sec mbona tumewapiga chini sana
Walikuwa wanamfurahisha jiwe[emoji2][emoji2]Kuna nyakati hadi chato ilitoa tanzania one daaah[emoji23]
Huko uchagani makazi ya vijijin ni Bora kwa 90% Tena tangu zamani kwahilo Wala Hakuna jipya kwetu hata maghorofa migombani yamejaa labda uji compete na watani zako kigoma ndio mpo level moja[emoji2]Hebu tazama hiki kijiji huko bukoba
Nyie bakini na takwimu zenu ..oh kagera ni maskini.
Watu wanajijenga hatari huko bukobaView attachment 1992550View attachment 1992551View attachment 1992553View attachment 1992554
Sii tu stand hata mabasi tumewaletea OSAKA, HAPPY NATION, KANDAHAR, ARUSHA EXP NKIla stand vipi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi najiuliza hako kamkoa kanakuwaje na shule nyingi hivyo hadi kuizidi Dar es salaam au Mwanza
Dar wazaramo wapo kwa 20% tu 80% ni wageni kila idara kwanzia matajiri,wasomi,wanafunzi etcWageni wanatoka wapi? Dar na Pwani bado wenyeji Wana make most of population. Learn to appreciate other people success!
Kanda ya ziwa hatari sana kati ya shule kumi bora nane zinatoka kanda ya ziwa.Nilijua kuwa shule Bora Lazima kagera zijazane kibao....
Watu wenye akili Wana akili hata ufanyeje.
Wahaya na elimu ni Pete na kidoleView attachment 1992478
Vilabu haata bukoba vipo vya rubisiKagera ni million tano ya nyoko[emoji23]
Jiji gan mnalo nyinyi zaidi ya vilabu vya mbege vya miatano....
Moshi pamoja na kuwa na stendi lakin bado pameduwaaa Kama Tanga
Unabishana na ukweli? Kwamba dar wazaramo ndio wengi KULIKO wageni? Acha ubishiMitanzania kama huyo fala ina element za kibaguzi sana
[emoji2][emoji2]jiwe angekuepo kagera ingekuwa ya kwanza.
Dar wazaramo wapo kwa 20% tu 80% ni wageni kila idara kwanzia matajiri,wasomi,wanafunzi etc
Kwetu najivunia ndio maana KILIMANJARO ipo vizuri idara zoteBraza acha kujiaminisha na tafiti zako za uongo. Dar asilimia kubwa ni wenyeji,wageni ni wachache sababu wenyeji hawaongei kiswahili. Na kwa taarifa yako wenyeji sio wazaramo peke yake kuna Wandengereko. Jivunie kwenu Kishumundu acha kujipachika mikoa ya watu.
Hatuna huo ujinga wa kukariri watu wenye elimu,utajiri,pesa, umaarufu na kuwalamba miguu kama watu wa mikoani.Kwetu najivunia ndio maana KILIMANJARO ipo vizuri idara zote
Ila kwa dar huwez niambia wwnyeji wame dominate nikakubali hebu nitajie watu maarufu wanaovuma dar ambao ni wwnyeji iwe KWENYE elimu,uchumi nk
Nyie dar ni kama vibarua tu wenye hela zao ni wakuja,wageni wamewanunua wamewasukuma mkuranga na kisarawe pale mjini 95% ya watu maarufu ni wageni huo ndio ukweliHatuna huo ujinga wa kukariri watu wenye elimu,utajiri,pesa, umaarufu na kuwalamba miguu kama watu wa mikoani.
Endelea kukataa kwenu....Alafu utakuta upo Kimara umekimbilia kulima ndizi Kishumundu,unaona aibu kutambulisha kijiji kwenu unapotoka!😀 Unang'ang'ania Dar. Anyway Mkuranga,Kisarawe,Kibaha, Rufiji,Kibiti,Bagamoyo,Mafia,Temeke,Kinondoni,Ubungo,Ilala na Kigamboni kote ni nyumbani kwa Wadar es salaam. Dar Ni Center/mji mkuu wao.Nyie dar ni kama vibarua tu wenye hela zao ni wakuja,wageni wamewanunua wamewasukuma mkuranga na kisarawe pale mjini 95% ya watu maarufu ni wageni huo ndio ukweli
Tupo kote kote KILIMANJARO kuna nyumba Kali vijijin KULIKO hata baadhi za darEndelea kukataa kwenu....Alafu utakuta upo Kimara umekimbilia kulima ndizi Kishumundu,unaona aibu kutambulisha kijiji kwenu unapotoka![emoji3] Unang'ang'ania Dar. Anyway Mkuranga,Kisarawe,Kibaha, Rufiji,Kibiti,Bagamoyo,Mafia,Temeke,Kinondoni,Ubungo,Ilala na Kigamboni kote ni nyumbani kwa Wadar es salaam. Dar Ni Center/mji mkuu wao.
Hizo ni nyumba gan Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Huko uchagani makazi ya vijijin ni Bora kwa 90% Tena tangu zamani kwahilo Wala Hakuna jipya kwetu hata maghorofa migombani yamejaa labda uji compete na watani zako kigoma ndio mpo level moja[emoji2]View attachment 1992887View attachment 1992889View attachment 1992892