Matokeo halisi kwa Yanga yanaanza kudhihirika

Matokeo halisi kwa Yanga yanaanza kudhihirika

Shida ya watanzania huwa hatuna akiba ya maneno na kila mtu ni mjuaji
 
Usisahau pia matokeo ya simba kabla ya kuifunga Ruvu amesuluhu na hawa tena mfululizo
Simba vs Polisi
Vs Yanga
Vs Namungo
Kwa mtiririko huu una uhakika gani wa kushinda viporo vyako?
Hatuna viporo tupo kwenye ratiba kama ninyi
 
Mashabiki wa bongo bhana! Kweli nyoso kwahiyo muanzisha thread unataka yanga ishinde mechi zote...? Kwani hizi timu nyingine zinazoshiriki hii ligi Ni vilema hawapaswi kushinda?

Mpira Ni ushindani sio lazima ashinde mmoja kila siku ikiwa hivyo ligi itashukia thamani Mimi Ni shabiki wa yanga damu ila natamani yanga ipoteze Tena mbili Simba ashinde kusiwe na gap kubwa la point ili tupate burudani Kama ilivyo kwa man city na liverpool pale england
 
Kwahio prison wangepewa bahasha penalty isinge paa? unasema wachezaji wanakosa magoli wenyewe sasa hapo bahasha ina husika vipi?
Ndiyo presha waliyo nayo Yanga. Nafasi wanashindwa kuzitumia. Walichokutana nacho Yanga Ni kinyume na matarajio yao.

Soma Tena utanielewa.

Usipaniki!
 
Mpira wa kimataifa unachezwa angani? wabongo kwa ujuaji, kama Namungo na Biashara waliweza ku challenge Yanga washindwe nini?
Yy kazungumzia Yanga, namungo wametoka wapi? Namungo si Yanga wala Yanga si namungo.
 
Kwani misimu iliyopita wakati unachukua ubingwa ulikuwa na mashindano machache?
Na Yanga hakuwa na mashindano mengi alifanya nn kimataifa?

Na mwakani mnaenda kimataifa kucheza mpira huu huu wa bahasha?

Kule hakuna bahasha,na akina Anthony Mavunde [emoji16][emoji16] kutafuta matokeo nje ya uwanja.
 
Usisahau pia matokeo ya simba kabla ya kuifunga Ruvu amesuluhu na hawa tena mfululizo
Simba vs Polisi
Vs Yanga
Vs Namungo
Kwa mtiririko huu una uhakika gani wa kushinda viporo vyako?
Viporo gani vya Simba? SIMBA haina presha. Tatizo la Yanga Ni mashabiki na wachezaji kujijaza upepo kwamba tayari Ni mabingwa ndiyo chanzo cha hii taharuki.

Kujiaminisha kwamba nyie lazima mshinde as if kwamba mko so spesho sana.Mpira hauko hivyo.

Simba alidroo lkn haikuwa habari ya mjini.

Simba pia tunajua hatuwezi kuchukua ubingwa sisi tu kila mwaka, lazima na wengine watachukua. Ndiyo mpira ulivyo.
 
Makolo jipeni moyo,soon mtaanza tena na story zenu GSM ananunua,halafu mkae na panadol karibu maana kwenye usajili mshalizwa subirieni muda ufike mpate maumivu
Sisi hatuna presha mkuu. Kwanza tukishakubali kiasi fulani kwamba Utopolo mnabeba ndoo.

Ila tunashangaa mnaanza kumbwela mbwela uwanjani badala ya kucheza mpira.

Sasa Yanga akidondosha point na Simba akishinda mechi zake tafsiri yake Ni kuukosa ubingwa.

Kwenye mbio ukisimama wenzako wanaendelea kutimua mbio.
 
Mashabiki wa bongo bhana! Kweli nyoso kwahiyo muanzisha thread unataka yanga ishinde mechi zote...? Kwani hizi timu nyingine zinazoshiriki hii ligi Ni vilema hawapaswi kushinda?

Mpira Ni ushindani sio lazima ashinde mmoja kila siku ikiwa hivyo ligi itashukia thamani Mimi Ni shabiki wa yanga damu ila natamani yanga ipoteze Tena mbili Simba ashinde kusiwe na gap kubwa la point ili tupate burudani Kama ilivyo kwa man city na liverpool pale england
Nilichoongea kikubwa Ni kwamba Yanga wanaanza kulaumiana wakati mpira una matokeo matatur.

Ndiyo maana nikasema Yanga walijiaminisha watashinda wao tu.

Sijui km ulisoma vzr nlichoandika. Rudia kusoma tena.

Wameenda hadi kumlaumu Kaze, lkn Nabi karudi wamedroo pia.

Sijajua umenilaumu KWA lipi ambalo ww umeandika ambalo mm sijaandika.
 
Sisi hatuna presha mkuu. Kwanza tukishakubali kiasi fulani kwamba Utopolo mnabeba ndoo.

Ila tunashangaa mnaanza kumbwela mbwela uwanjani badala ya kucheza mpira.

Sasa Yanga akidondosha point na Simba akishinda mechi zake tafsiri yake Ni kuukosa ubingwa.

Kwenye mbio ukisimama wenzako wanaendelea kutimua mbio.
Kolo wenzako si ndio wanajipa moyo badala ya kukaa kwa kutulia maana kuna dhahama inakuja
 
Back
Top Bottom