Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu huu wachezaji wamechoka au kitaalam tunaita fatigue.Kwani misimu iliyopita wakati unachukua ubingwa ulikuwa na mashindano machache?
Namungo walifika makundi, Biashara alibakiza geme moja aingie makundi na tayari alikua kasha win first leg kwa goli mbili haya chambua sasaNamungo na biashara walifika hatua gani? Tuanzie hapo kwanza
Hatuna viporo tupo kwenye ratiba kama ninyiUsisahau pia matokeo ya simba kabla ya kuifunga Ruvu amesuluhu na hawa tena mfululizo
Simba vs Polisi
Vs Yanga
Vs Namungo
Kwa mtiririko huu una uhakika gani wa kushinda viporo vyako?
Hiki ni kichaka cha kujifichia Bocco anakosa magoli ya wazi nayo ni Fatigue?Msimu huu wachezaji wamechoka au kitaalam tunaita fatigue.
Ndiyo presha waliyo nayo Yanga. Nafasi wanashindwa kuzitumia. Walichokutana nacho Yanga Ni kinyume na matarajio yao.Kwahio prison wangepewa bahasha penalty isinge paa? unasema wachezaji wanakosa magoli wenyewe sasa hapo bahasha ina husika vipi?
Kwani haiwezekani? Jibu km mtu unaeujua mpira.Kwahiyo Simba atabeba ubingwa au sio?
Simba hii hii ndiyo imefika robo fainali au hili hulijui.ila kwa unavyocheza wewe ambaye huongozi ligi ndo utatoboa?
Yy kazungumzia Yanga, namungo wametoka wapi? Namungo si Yanga wala Yanga si namungo.Mpira wa kimataifa unachezwa angani? wabongo kwa ujuaji, kama Namungo na Biashara waliweza ku challenge Yanga washindwe nini?
Na Yanga hakuwa na mashindano mengi alifanya nn kimataifa?Kwani misimu iliyopita wakati unachukua ubingwa ulikuwa na mashindano machache?
Namungo anamzidi nini Yanga?Yy kazungumzia Yanga, namungo wametoka wapi? Namungo si Yanga wala Yanga si namungo.
Nyie si furaha yenu Yanga ifungwe unaumia nini sasa?Ndiyo presha waliyo nayo Yanga. Nafasi wanashindwa kuzitumia. Walichokutana nacho Yanga Ni kinyume na matarajio yao.
Soma Tena utanielewa.
Usipaniki!
Viporo gani vya Simba? SIMBA haina presha. Tatizo la Yanga Ni mashabiki na wachezaji kujijaza upepo kwamba tayari Ni mabingwa ndiyo chanzo cha hii taharuki.Usisahau pia matokeo ya simba kabla ya kuifunga Ruvu amesuluhu na hawa tena mfululizo
Simba vs Polisi
Vs Yanga
Vs Namungo
Kwa mtiririko huu una uhakika gani wa kushinda viporo vyako?
Sisi hatuna presha mkuu. Kwanza tukishakubali kiasi fulani kwamba Utopolo mnabeba ndoo.Makolo jipeni moyo,soon mtaanza tena na story zenu GSM ananunua,halafu mkae na panadol karibu maana kwenye usajili mshalizwa subirieni muda ufike mpate maumivu
Kwani fatiki Ni nini?Hiki ni kichaka cha kujifichia Bocco anakosa magoli ya wazi nayo ni Fatigue?
Nilichoongea kikubwa Ni kwamba Yanga wanaanza kulaumiana wakati mpira una matokeo matatur.Mashabiki wa bongo bhana! Kweli nyoso kwahiyo muanzisha thread unataka yanga ishinde mechi zote...? Kwani hizi timu nyingine zinazoshiriki hii ligi Ni vilema hawapaswi kushinda?
Mpira Ni ushindani sio lazima ashinde mmoja kila siku ikiwa hivyo ligi itashukia thamani Mimi Ni shabiki wa yanga damu ila natamani yanga ipoteze Tena mbili Simba ashinde kusiwe na gap kubwa la point ili tupate burudani Kama ilivyo kwa man city na liverpool pale england
Kolo wenzako si ndio wanajipa moyo badala ya kukaa kwa kutulia maana kuna dhahama inakujaSisi hatuna presha mkuu. Kwanza tukishakubali kiasi fulani kwamba Utopolo mnabeba ndoo.
Ila tunashangaa mnaanza kumbwela mbwela uwanjani badala ya kucheza mpira.
Sasa Yanga akidondosha point na Simba akishinda mechi zake tafsiri yake Ni kuukosa ubingwa.
Kwenye mbio ukisimama wenzako wanaendelea kutimua mbio.
Hata Berkane kafika nusu fainali kwenye ligi yao yupo wapiSimba hii hii ndiyo imefika robo fainali au hili hulijui.