Matokeo Haya ya Yanga yanaashiria nini?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wakuu kwema?

Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza michezo ya kirafiki.

Sasa timu ya vijana ilifungwa na timu ya Cambiaso Academy Sport inayofundishwa na Mecky Mexime. Timu ya Wanawake ikasuluhu 1-1 na Ilala Princess. Na ya Wakubwa mpaka sasa ishachapwa 2-1 na Zanaco ya Zambia.

Yaan mechi tatu wamefungwa mbili, wakasuluhu moja. Hii inaashiria nini? Ndio mwanzo mbaya wa matokeo Yale yale?Je pamoja na kusajili Sana kutakua na maendeleo yoyote kwa watani zetu hawa?

Au tuwape tu moyo kua hizi ni mechi za kirafiki lakini wako vizuri?
 
Ngoja niwatetee kidogo.

"Hata Bayern mechi za preseason ilifungwa na kudroo tu, ila sasa kwenye imecheza mechi 3, imeshinda 2 imedroo 1."
 
"sisi tuna watu🀣🀣🀣" kumbe nyuma ya pazia majiran mko wepesi hivi 🐸🐸
 
bado tunatafuta muunganiko mkuu wetulia utaona tu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mchezaji nimesikia anaitwa NISHAMTOMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…