Liz Senior
JF-Expert Member
- Apr 19, 2007
- 483
- 53
Nafikiri inategemea speed ya provider wako na machine unayotumia...mbona zinafunguka kwa wengine?
Wakuu mmeona jinsi kina dogo walivyopigika somo la Kiswahili? Mara nyingi watu wanalalamikia Maths but so far nimeona A moja tu ya Kiswahili ya yule binti wa Marian Girls mwenye point 7! Shule nyingi wamevurunda sana Kiswahili...ni tatizo!
Shule za wenye majina yao nazo ni balaa! Sijui ziwekewe St! Hebu check Nicdemus Banduka, J.M Makweta, Ole Njoolay, Isdore Shirima, Lowassa, J.M. Kikwete, Jakaya Kikwete, Pius Msekwa na zinazofanana na hizo!