Matokeo kidato cha nne 2009

Matokeo kidato cha nne 2009

Nafikiri inategemea speed ya provider wako na machine unayotumia...mbona zinafunguka kwa wengine?

Wakuu mmeona jinsi kina dogo walivyopigika somo la Kiswahili? Mara nyingi watu wanalalamikia Maths but so far nimeona A moja tu ya Kiswahili ya yule binti wa Marian Girls mwenye point 7! Shule nyingi wamevurunda sana Kiswahili...ni tatizo!

Shule za wenye majina yao nazo ni balaa! Sijui ziwekewe St! Hebu check Nicdemus Banduka, J.M Makweta, Ole Njoolay, Isdore Shirima, Lowassa, J.M. Kikwete, Jakaya Kikwete, Pius Msekwa na zinazofanana na hizo!
 
Jamani naombeni mtu aniwekee hapa .doc ya dodoma secondary S.0306

Net hapa inasumbua kufungua page za hiyo wizara....
mkuu dodoma sec bado inagoma ila inawezekana midamida ikakubali ,so ikikubali nitakuwekea
 
invisible naomba uniwekee nzunzuri sec school
 
Vipi requests zimeisha? Yanafunguka haraka au ndio yaleyale?
Mkuu tunaendelea kukushukuru kwa kazi ya ziada unayoifanya baadhi ya matokeo mengine yanafunguka na mengine ndio mchezo uleule. Naomba uniwekee matokeo ya IYUNGA TECH. SCHOOL P0112 Natanguliza shukrani halafu nitagonga thanks nyingine.
 
Vipi requests zimeisha? Yanafunguka haraka au ndio yaleyale?
asante sana invisible,yanafunguka haraka ila matokeo ni mabaya sana ndo maana nikasema hii ni katasTrOfi.naomba uniwekee uhuru sec na rajani sec
 
Back
Top Bottom