Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Matokeo tayari yametangazwa na safari hii kumekua na B+ na B plain pia wameweka E katika matokeo hayo pia ufaulu umeongezeka mpaka kufikia zaidi ya nusu ya wanafunzi kufaulu nasjindwa kuapload hapa coz naona server yangu inazingua kidogo nikitulia nitayaweka hapa msiwe na hofu na safari hii tano bora ya kitaifa ni wanawake tupu wanaume mmetuaibisha maana katika overrall kumi bora wanaume ni 3 tu