Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Khe home kuna dogo kamaliza form 4 ngoja nicheki
Leo ataugua kwa muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khe home kuna dogo kamaliza form 4 ngoja nicheki
Matokeo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde hivi punde.
Ufaulu umepanda kwa 58%.
Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.
jamani kinachotegemewa ni kua matokeo kutangazwa leo.so bado hawajaweka hewani
Leo ataugua kwa muda.
nimeshamwambia lakin bado hayajawekwa online
matokeo yametangazwa na kaimu katibu mtendaji wa necta dr. Charles msonde hivi punde.
Ufaulu umepanda kwa 58%.
Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.
east africa radio ‏@earadiofm 18m wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya i -iii. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 26m
jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 25m
jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 23m
wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu ni laki 128,435. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 20m wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya i -iii. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 18m
wavulana waliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 15m
wavulana waliopata daraja la tatu (division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113. #2013matokeokidatocha4
jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 7m
jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 1m
shule 10 zilizoongoza ni st.francis girls, marian boys, feza girls, precious blood, canossa, marian girls, abbey #2013matokeokidatocha4
shule kumi zilizoongoza: Anwarite girls, rosmini, na donbosco seminary. #2013matokeokidatocha4
east africa radio ‏@earadiofm 45s
zilizofanya vibaya: Singisa, hurui, barabarani, nandanga, vihokoli, chongoleani, likawage, gwandi, rungwa, uchindile. #2013matokeokidatocha4
watahiniwa kumi bora: 3. Joyceline leornard marealle (canossa), 4. Sarafina w. Mariki (marian girls).
#2013matokeokidatocha4
watahiniwa 10 bora: 5. Abby t. Seembuche (marian girls), 6. Sunday mrutu (anne marie), 7. Nelson anthony (kaizerege). #2013matokeokidatocha4
watahiniwa 31,518 wa shule ambao hawajalipa ada ya mtihani, matokeo yao yatatolewa watakapolipa ada wanayodaiwa. #2013matokeokidatocha4
we sema umbea halafu uyakute namna hyo kama hujaja kukalia kitu cha nyama sijui mkoje kwan unachobisha hapo ni nini yapo tayari na yameshatangazwa au kama vp nipe namba yako nikutajie una ngapi na sitaki uje kwenye pm njoo hapa hadharani ili siku nyingine mkiambiwa mnatulia

HII NI KUTOKA TWITTER PAGE YA EATV
East Africa Radio ‏@earadiofm 18m Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 26m
Jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 25m
Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 23m
Wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu ni laki 128,435. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 20m Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 18m
Wavulana waliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 15m
Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113. #2013MatokeoKidatoCha4
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 7m
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 1m
Shule 10 zilizoongoza ni St.Francis Girls, Marian Boys, Feza Girls, Precious Blood, Canossa, Marian Girls, Abbey #2013MatokeoKidatoCha4
Shule kumi zilizoongoza: Anwarite Girls, Rosmini, na DonBosco Seminary. #2013MatokeoKidatoCha4
East Africa Radio ‏@earadiofm 45s
Zilizofanya vibaya: Singisa, Hurui, Barabarani, Nandanga, Vihokoli, Chongoleani, Likawage, Gwandi, Rungwa, Uchindile. #2013MatokeoKidatoCha4