Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Daah serikali ya ngeseki kweli. Yan wanatoa marks za ubwete kweli miaka hii. Daah, mwakani jeshini watu wataingia na div IV ya 40.
 
hata mimi haifunguki.
jamani msitupe pressure bure!
 
Kaizirege yaongoza ktk shule zenye wanafunzi chini ya 40

Examination centre ranking

examination centre region - - kagera

total passed candidates, --33

examination centre gpa--1.3829

centre category -- centre with less than 40 candidates

centre position in its category(regionwise)

1/41

centre position in its category(nationwise)

1/1099
 
Wengi watasema ongezeko la ufaulu lina tija. Ila kwa uhalisia ni bado anguko. The term "kufaulu" kwa mujibu wa NECTA ni dv 1 to 4. Ila mazingira yamwanafunzi wa div 3 with less credits (less than 3 C) katika soko la elimu ya TZ ni less considered if not. Kwa takwimu hizo 42% ni div 0 not far to 58% ya mjumuiko wa div 1 to 4. Bado kuna kirusi katika elimu ya watoto wet. Si ishara njema kuwa na 42% ya watahiniwa kupata zero.
 
Too sad, pamoja na divi 5 ya Mulugo still wanafunzi wamefail sana. Amazing hadi point 50 !!!!!!!!!. Kwa mtindo huu elimu yetu iko mashakani.
 
Wakuu aliye na D 2, C 1=div.IV points 40، huyu atakuwa kundi gani na atajiendelezaje hasa?
 
Si Dr Ndalichako keshaondolewa mbona mmefeli tena
 
Back
Top Bottom