Matokeo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde hivi punde. Ufaulu umepanda kwa 58%. Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.
Kwa kosa gani mkuu?Kwanza anatakiwa kuwa banned
Matokeo tayari yametangazwa na safari hii kumekua na B+ na B plain pia wameweka E katika matokeo hayo pia ufaulu umeongezeka mpaka kufikia zaidi ya nusu ya wanafunzi kufaulu nasjindwa kuapload hapa coz naona server yangu inazingua kidogo nikitulia nitayaweka hapa msiwe na hofu na safari hii tano bora ya kitaifa ni wanawake tupu wanaume mmetuaibisha maana katika overrall kumi bora wanaume ni 3 tu
embu acha umbea mkuu.
Anasema matokeo yapo kwenye necta website wakati hakuna kituKwa kosa gani mkuu?
Wote mliopinga na mliotukana huo ni mtazamo wenu na nauheshimu pia. Kuhusu kufunguka au kutofunguka mimi sio fundi mitambo wa mitandao ya internet. Nilichosema yametangazwa huko si jukumu langu.
Ahsanteni sana.
Matokeo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde hivi punde.
Ufaulu umepanda kwa 58%.
Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.