Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Aseee wanatuabisha sana tuliosoma zamani sasahivi mtu anapata marks za ubwete ubwete
dah...,,,!!
 
ST. JAMES SEMINARY imetisha, DIV 1= 35, DIV 2 = 12, DIV 3 = 0, DIV 4 = 0, DIV 0 = 0.
 
Hivi div5 imewekwa? Maana kuna cousin wangu kapata c 5 na d 4 then kaandikiwa 3 ya 29?
 
Jamani matokeo yapo na goli limepanuliwa vilivyo, Mwisho wa Division 3 ni point 29, four hadi point 45, Majanga jamani, Mchome ameua elimu jamani.
 
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"] 33

[/TD]
[TD="width: 4%"] IV
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' BIO - 'D' B/MATH - 'E'

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Jamani sijaelewa huyu dogo inakuwaje kawa na IV-33?? Msaada plz sijui E-inasimama badala ya ngapi katika grades za NECTA??

 
Matokeo yapo uukiingia kwenye tovuti ya Necta angalia kulia open link ya Csee 2013 New kila kitu kipo hapo .
 
Daaaa.!!!! Kuna watu wabishi humu acha kabisa we umeambiwa matokeo yametoka na umepewa na link.. lakin unakuwa mpishii
 
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"] 33

[/TD]
[TD="width: 4%"] IV
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' BIO - 'D' B/MATH - 'E'

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Jamani sijaelewa huyu dogo inakuwaje kawa na IV-33?? Msaada plz sijui E-inasimama badala ya ngapi katika grades za NECTA??

Unashangaa kuna watu wana hadi Iv ya 48
 
33
IV
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'B'
ENGL - 'B' BIO - 'C' B/MATH - 'F'


hv hii nayooo inakua 4 duuu vituko kwer
mbona wanawayumbisha hawa watotoooo
 
Wadau hivi kuna waliopata div 5 kama tulivyotangaziwa hii div mpya?
 
Back
Top Bottom