Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

..hamna cha ufaulu kupanda wala nini, yaani wamefeli kuliko ilivyokawaida, we unaambiwa division 4 mpaka point 47, si upuuzi huo, yaan hata zero haijawahi kufika huko, kwa kifupi wewe kama una div 3 na 4, ni kwamba una zero wala usishabikie
 
Teh teh tz yetu bhana. Wale waliosoma kwa starehe huku wakipewa nauli ya kwenda na kurudi chuo na huku wamefungiwa mikate ya kula njiani, huku chuo wakiwa na vifua vya kugomea wali kuku eti kwanini wale kuku kila siku, huku wakilipiwa ada toka 1yr to final year, and then ajira wanapata kabla ya kumaliza chuo; LEO HII wameamua kuua na kuangamiza uzao wa walalahoi huku watoto wao wakiwasomesha ng'ambo waje wawatawale mburula wa walalahoi
 
Wandugu nisaidieni kwa nini hawa waliopata points sawa mmoja yuko Div zero na mwingine yuko division four?


[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: transparent"]
P4352/0009
[/TD]
[TD="width: 3%, bgcolor: transparent"]
F
[/TD]
[TD="width: 6%, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
44
[/TD]
[TD="width: 3%, bgcolor: transparent"] 0
[/TD]
[TD="width: 70%, bgcolor: transparent, colspan: 3"] CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' B/KNOWL - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: transparent"]
P4352/0015
[/TD]
[TD="width: 6%, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
F
[/TD]
[TD="width: 8%, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
44
[/TD]
[TD="width: 6%, bgcolor: transparent"] IV
[/TD]
[TD="width: 63%, bgcolor: transparent"] CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'B' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hatimaye matokeo ya form four mwaka 2013 yametangazwa huku yakiwa na taswira ya division five...Ufaulu umechakachuliwa ambapo viwango vya ufaulu vimeshushwa!
 
Mbona sijaona div 5, labda kuhusu ufaulu kweli siyo mzuri haswa katika shule zile maaru kama za KATA, hapa vijana wengi wataishi kuwa waendesha pikipiki tu.

Hatimaye matokeo ya form four mwaka 2013 yametangazwa huku yakiwa na taswira ya division five...Ufaulu umechakachuliwa ambapo viwango vya ufaulu vimeshushwa!
 
Mbona sijaona div 5, labda kuhusu ufaulu kweli siyo mzuri haswa katika shule zile maaru kama za KATA, hapa vijana wengi wataishi kuwa waendesha pikipiki tu.

Mkuu umewahi kuona div. 111 ya point 27.?
 
Matokeo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde hivi punde.

Ufaulu umepanda kwa 58%.

Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.

Hakuna kitu hapo na Huo Ufaulu ni Kiini Macho tu haswa Kukamilisha ile dhana Ya Big Result Now ( BRN ). Kila Mwalimu Mkuu Alilazimika Kufanya Afanyalo ikibidi hata Kuiba Papers au Kucheza Dili ili Tu Shule Zao Zifanye Vizuri Kwani Walipigwa Mkwara na Shukuru Kwamba Kama Kuna Shule Itafanya Vibaya basi Mwalimu Mkuu Atakiona cha Moto. Ni Matokeo Ya Kuwafurahisha Wazazi wa Kitanzania na Kuwaondolea Machungu Ya Uzembe na Aibu Ya Mwaka Jana Ambapo Wanafunzi Karibia Laki Mbili Walipata Division Zero na Wengine Wakaona Ni Fursa Pia Ya Kutuonyeshea Vipaji Vyao Lukuki Vya Uchoraji Picha za Utupu na Kutuandikia Mistari Ya Nyimbo Za Bongo Fleva na Hakika Vipaji Vyao Vilionekana. Tumewapa Mzigo Mzito na Kazi Ngumu Sana Wahadhiri wa Vyuo Vikuu ktk Kipindi Cha Miaka Miwili Mitatu Ijayo Kwani Wanafunzi Wengi Watakaojiunga na Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini Lazima Watakuwa Na Uwezo Mdogo Mno Darasani.
 
Wandugu nisaidieni kwa nini hawa waliopata points sawa mmoja yuko Div zero na mwingine yuko division four?


[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: transparent"]
P4352/0009
[/TD]
[TD="width: 3%, bgcolor: transparent"]
F
[/TD]
[TD="width: 6%, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
44
[/TD]
[TD="width: 3%, bgcolor: transparent"]0[/TD]
[TD="width: 70%, bgcolor: transparent, colspan: 3"]CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' B/KNOWL - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: transparent"]
P4352/0015
[/TD]
[TD="width: 6%, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
F
[/TD]
[TD="width: 8%, bgcolor: transparent, colspan: 3"]
44
[/TD]
[TD="width: 6%, bgcolor: transparent"]IV[/TD]
[TD="width: 63%, bgcolor: transparent"]CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'B' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F' [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
B ya Kiswahili itakuwa ndio imembeba.
 
Safi naona division five haipo sisiem ni noma wanatest hamtaki wanatoa msipofuatilia inawekwa
 
Back
Top Bottom