Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

bora nilimaliza zamani kuliko ushe nzi huu whats BRN?
 
civ-E,geo-E,hist-E,chem-C,bio-C,kisw-C,eng-C,math-D,phy-D. div IV points 32. kwa mimi niliona kama ataendelea adv lakini utata ni uko kwenye div au wadau mnasemaje?
 
Huyo kwa matokeo ya 2011 kurudi nyuma angepata ziro, haishukulu sana silikali yake ya hawamu ya 4 kwakumpa hizo credit 4!!!
 
Hizi ndio shule 10 bora matokeo
kidato cha nne 2013:
1. St.Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)
Hawa ndio wanafunzi 10 bora
matokeo kidato cha nne 2013:
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls -
Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls -
Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle
(Canossa - Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls -
Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls -
Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-
es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege
- Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory
(Kaizirege - Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls -
Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls
- Mbeya)
 
ladies have done well kudoss Robina mt everest are proud of you,,,magreth hongera i heard primary umesoma to my former school trust st patrick arusha,,,lastly boys from kaizirege mme proove your worthness
 
Kama unaona nakuongopea mwambie huyo mwenye hayo matokeo aende baraza akayabadili kwa viwango vya zamani kama hapati IV 33 ambayo ni kama ziro tu!
 
kwa mfumo wa zaman ukiwa na C tatu ndo unaenda Advance
kwa mfumo wa sasa ukiwa na B PLANE
3 ndo uko magoli mwendo mdundo kukipiGa kitu cha advance

UKIBISHA UNAKATWA.
 
Duh! leo nimesikitishwa sana, siasa na elimu wapi na wapi? vijana zaidi ya laki tyr ndani ya hzi siku mbili tu washapatikana ambao future yao haieleweki... na wengine wataongezeka kutoka kwa hao div I - III watakapomaliza form six... mwishowe tutabaki na buku tu ambao angalau.. na hao bado pity jobs, Duh! bongo bongo!
 
Hapo ndo huwa nachoka na walimu wa shule za serikali wanapodai nyongeza za mishahara kila mwaka wakati mishule kwa zero inatisho.
 
Wanajamvi wenzangu me pc imekata chaji, cmu iina 2% ya chaj, sasa huyu mtoto atantaftia sababu ebu alie na access anichekie IHANGA SEC SCHOOL namba S4655/0011 ebu jaman fanyeni hivyo
 
Sitaki amini this time government haina hata mmoja katika list yoyote ile.
 
[table="width: 97%"]
[tr]
[td]cno
[/td]
[td]sex
[/td]
[td]aggt
[/td]
[td]div
[/td]
[td]detailed subjects
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s0401/0027
[/td]
[td]f
[/td]
[td]44
[/td]
[td]iv
[/td]
[td]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s0401/0014
[/td]
[td]f
[/td]
[td]43
[/td]
[td]iv
[/td]
[td]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'd' bio - 'e' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s0401/0015
[/td]
[td]f
[/td]
[td]43
[/td]
[td]0
[/td]
[td]civ - 'e' hist - 'e' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'e' chem - 'f' bio - 'e' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s0401/0041
[/td]
[td]m
[/td]
[td]42
[/td]
[td]0
[/td]
[td]civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' kisw - 'd' engl - 'e' bio - 'e' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s3561/0165
[/td]
[td]m
[/td]
[td]42
[/td]
[td]0
[/td]
[td]civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' e/d/kiislamu - 'e' kisw - 'd' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s3561/0149
[/td]
[td]f
[/td]
[td]45
[/td]
[td]iv
[/td]
[td]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s3561/0142
[/td]
[td]f
[/td]
[td]44
[/td]
[td]iv
[/td]
[td]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'e' e/d/kiislamu - 'x' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s3561/0008
[/td]
[td]f
[/td]
[td]44
[/td]
[td]0
[/td]
[td]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'e' kisw - 'd' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s3561/0017
[/td]
[td]f
[/td]
[td]46
[/td]
[td]iv
[/td]
[td]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'f' fren - 'f' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s3561/0003
[/td]
[td]f
[/td]
[td]46
[/td]
[td]0
[/td]
[td]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' e/d/kiislamu - 'e' kisw - 'd' engl - 'f' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s0316/0485
[/td]
[td]m
[/td]
[td]41
[/td]
[td]0
[/td]
[td]civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' e/d/kiislamu - 'e' kisw - 'd' engl - 'e' bio - 'e' b/math - 'e'
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]s0316/0155
[/td]
[td]f
[/td]
[td]45
[/td]
[td]iv
[/td]
[td]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' e/d/kiislamu - 'e' kisw - 'c' engl - 'f' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
[/tr]
[/table]

Jamani naomba mnijuze huu upangaji wa madaraja ukoje naona mwenye pointi chache ametaga yai pointi nyingi zaidi Div IV
 
Back
Top Bottom