Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba wanajamvi mnisaidie kupata matokeo ya maarifaQT ili nipate kuyaona
Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa
![]()
UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013.
Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.
Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).
Jamani naomba mnijuze huu upangaji wa madaraja ukoje naona mwenye pointi chache ametaga yai pointi nyingi zaidi Div IV