Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza


Shule za Kanisa Katoliki zinazidi kukimbiza....Hongera shule za Kanisa
 

Subir advance
 
Mchome ndiyo anazingua, mara aje na "E" mara "+" mara GPA sasa what i wonder hayo manjonjo yote ya nini? kubadilisha mfumo uliokuwepo wa division na kuja na huu wa GPA ndiyo unainua elimu????
 

Kweli huu mwaka wa MCHARO aisee yaani ANGEL L MCHARO na JENIFA L MCHARO mmethibitisha hilo.

Mcharo kweli mtamu...

Tanga wao mapenzi ndo yanawaangusha bado mwamuko wa kitabu kwa wazazi uko chini sana.
 
p.377/191 lugalo centre jwtz niangalizie mkuu


[td="width: 6%"] p0377/0191

[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] -
[/td]
[td="width: 4%"] pass
[/td]
[td="width: 58%"] hist - 'b' geo - 'b' kisw - 'x'
[/td]
 

[td="width: 6%"] p0377/0191

[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] -
[/td]
[td="width: 4%"] pass
[/td]
[td="width: 58%"] hist - 'b' geo - 'b' kisw - 'x'
[/td]

Uyu alikua risita au ?
 

Hakika hoja iliyotumika ni DHAIFU sana eti kuoanisha na mfumo wa TCU ili iwe rahisi kudahili, hivi miaka yote kumbe ilikuwa shida kudahili?

Kama lengo ni kuoanisha kwa nini hawajatumia First Class,Upper Second n.k?

Kwa nini kama lengo ni kuoanisha Distinction isianzie 4,4 kama ilivyo vyuo vikuu?

Hakiki hoja ya kuoanisha ni DHAIFU SANA
 
Mchome ndiyo anazingua, mara aje na "E" mara "+" mara GPA sasa what i wonder hayo manjonjo yote ya nini? kubadilisha mfumo uliokuwepo wa division na kuja na huu wa GPA ndiyo unainua elimu????

NECTA ndiyo wamebadisha mfumo siyo Mchome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…