Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
huo ndio wa mwisho???
Hapana kasome post vizuri nadhani ndiyo inaongoza mkiani!
Tanga imeappear mara 6 Kwenye TOP TEN VILAZAZ.
Ata kuesabu sijui ila Tz kuna mikoa zaidi ya 15.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ndio wa mwisho???
Hapana kasome post vizuri nadhani ndiyo inaongoza mkiani!
s.485/0264
[table="width: 70%"]s.485/0264
wa kwanza mpaka wa tisa wote wakristu?...kuna kitu hapo.
Tayari mkuu....check pm.s3693/023 plz nitumie pM
Hongera sana.....!!!!Jiandae na level nyingine.Asanteni wakuu hakika nimepiga
Kuna mkoa umekuwa wamwisho maana umetoa shule zaidi ya mbili kwenye kumi za mwisho sijui walikuwa wanafundisha au walikuwa wanafuatilia mahakama ya.....
Hahahahahaha au kwa kuwa amekuwa mtamuuuuuuuu!!!!!!!1watoto wa mcharo wamefaulu vizuri
Hongera sana.....!!!!Jiandae na level nyingine.